africa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa Africa hawafanyi rehearsal ya speech zao kabla ya kwenda public?

    Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende. Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe. Waziri mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  3. JamiiForums Tanzania Umasikini Afrika. Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa

    Bara la kupokea kila mgeni Bara lenye rasilimali nyingi Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe Bara lenye wajinga wengi Bara lenye magonjwa yote duniani Bara lenye miundombinu dunii mibovu Bara linalo kopa kila kukicha Bara lenye viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za Africa kw High income, Upper Middle income, lower middle income na low income

    Nchi za Africa kw High income, Upper Middle income, lower middle income na low income
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

    Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025 1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra 2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone 3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc 4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling 5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian Franc 6)-Democratic...
  6. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu Papa ajaye atatokea Afrika

    Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa 🙏
  7. JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

    Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo Kula kwanza hicho chuma https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

    Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ? Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said Kabla ya hapo, eneo hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Colonization of Africa: The Berlin Conference 144 years ago

    It was the late 19th century and European nations were beginning to look at the African continent as a more permanent resource base for their newly growing industrial sectors. More than the ongoing trade between the two continents that had run for decades, though, the Europeans wanted direct...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
  11. JamiiForums Tanzania Sudan hawana ndugu? Waliwakosea nini watu si waislam au WA Africa

    Amani iwe kwenu wakuu Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu? Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila...
  12. JamiiForums Tanzania Popo mwenye uwezo wa kuambukiza corona amegundulika huko China.

  13. JamiiForums Tanzania Hawa University College of Africa wanapata wapi namba za wazazi wa form 4 leavers?

    Mzazi anatukiwa meseji yenye jina la shule aliosoma mwanae, je ni walimu ndio wanatoa namba au huu mchezo ukoje? Na huu ufadhili ukoje?
  14. JamiiForums Tanzania South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  15. JamiiForums Tanzania USAID ya China yaanza kuwika Afrika, yagawa msaada wa msosi Zimbabwe

    Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
  16. JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  17. JamiiForums Tanzania Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

    Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Afrika sio wanufaika wakubwa wa USAID kama tunavyodhania

    Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya. Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  20. JamiiForums Tanzania Chanzo kikuu cha Umasikini na migogoro barani Africa ni Ubinafsi

    Great Thinkers. 1..Somemi mpaka.Phd 2. Salini saa 24.hrs 3. Andaeni.michakato sana. 4.Tengenezi.dira hata za miaka 100. 5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo. Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa wabinafsi na ndo kitu.kinatafuna bara lote la africa kutumbukia kwenye umaskini mkubwa. Viongozi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…