africa

  1. JamiiForums Tanzania Wachina wanaishi kwa shida sana kama kuku wa kwenye cages nchini kwao ndio maana wanakimbilia Afrika

    Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao wanaishi maisha ya shida sana ya kubanana katika makazi. Raia wengi wa China wanaishi kwenye vi-...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Nyerere kwenye mkutano wa wakuu wa nchi huru za Africa mwaka 1964. Nyerere alikuwa na bifu kali sana na Rais Kwame Nkrumah wa Ghana

    HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA MWALIMU JULIUS K. NYERERE KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO Tarehe 20 Julai, 1964 NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
  3. JamiiForums Tanzania Unahitaji nini kutoka South Africa?

    Unahitaji nini kutoa South Africa? Branch zetu. Kamaha-Mkaba na Soko la Madi. Dar- Tunapatina Ilala. Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel. Next-Mwanza. Njia za naweza lipia nikama PayPal Bank Lipa Kwa Simu Wala Wala CRDB Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili ni watu wakutafuta facts na wenye maswali Magumu na watawala hawawapendi Africa

    Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why? Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na mwishi wanadhoofisha... Umewahi kaa au kulala sehem Kuna chawa? Mara zote kwa aina hii ya uongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Black people hate everything about slavery except religion

    As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion. If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to themselves, we will not be having Christianity and Islam in Africa. But because you are now a christian or...
  7. JamiiForums Tanzania Ingawa bongo tunaongoza Africa katika utumiaj wa Internet lakini tumekosa kuwa na influencers/content creators wa kuvuka boda. Ni issue ya english au?

    Au basi tu vijana hawaja challenge fursa hii. https://youtube.com/shorts/bjlEGS1vcv4?si=I6VHSCv3AGimkeWw
  8. JamiiForums Tanzania Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  9. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

    Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani. Wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na...
  10. JamiiForums Tanzania Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2,2025

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu UAPs/UFOs wanafika kila mahali hadi Africa, proof hiyo hapo (clip -tukio lilitokea Zimbabwe )

    Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tu:) Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine kibao zipo online. Kwa wale mnaofuatilia mmeisikia documentary iitwayo The Age of Disclosure...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatupaswi kufanya chochote kumsaidia professor Janabi kushinda ukurugenzi wa WHO kanda ya Africa

    Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Tufanye nini ili ashinde? Kwa bahati mbaya tumezoea zile chaguzi ambapo watu wasio na sifa wanapigiwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

    1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue. 2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
  15. JamiiForums Tanzania Utabiri: Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika Kutoka Ivory Coast, West Africa

    Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Oya group (kampuni baba ya oya microfinance Tanzania) ajinunulia buggati na ndege

    Richard Nii-Armah Quaye (Raia wa Ghana)mmiliki wa Bills Micro Credit au Quick Credit ambayo ni kampuni Baba ya OYA Microfinance amejinunulia private Jet na Buggati. ☝️ ☝️ ☝️ Akipokea ndege yake nchini Ghana. ☝️☝️☝️Post ikionesha maandalizi ya Bugatti yake kubebwa na ndege mpaka Ghana...
  17. JamiiForums Tanzania US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance?

    US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance? The landscape of international development in Africa has been significantly altered by recent decisions from the United States. An executive order issued by President Trump, followed by an announcement from Secretary of...
  18. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Wachina ni masikini sana, yaani mtu unatoka China kuuza Yebo yebo Afrika, mambo kama haya hauwezi kuona wanafanya wamerekani

    Kiukweli wachina wana akili ndogo Sana yaani unatoka China kuja kuuza Yebo Yebo Tanzania
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Donald Trump unafikiria kuongeza vizuizi vya kusafiri kwa raia kutoka nchi 41 kati ya hizo za Afrika ni 22

    Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo. Soma Pia: Trump asimamisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…