africa

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9

    Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9 Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA Africa Hometown" uliozinduliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika Mkutano...
  3. A

    JamiiForums Tanzania What i have written to Serguei Starostin on sumerians

    hi i am interested by the etymological database project of Serguei sTAROSTIN i want to participate in it , bringing infos about african languages to compare them with melano- hindus( veddoids and dravidians) people who originate from Africa as said Bernard Sergent of french CNRS I think it can...
  4. JamiiForums Tanzania Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  5. JamiiForums Tanzania Pesa inanunua kila kitu AFRICA tu na sio nchi za wazungu.

    Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu. Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu. Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia? Au ni kitu gani hapa AFRICA...
  6. JamiiForums Tanzania “There is no free lunch in Africa“

    Kauli “There is no free lunch in Africa” ina maana ya kwamba: Katika muktadha wa Afrika, inaweza kumaanisha: - Ukipata msaada, mara nyingi kuna kitu kinatarajiwa kutoka kwako baadaye. - Hata kama inaonekana ni zawadi au msaada, kuna nia au faida nyuma yake (kisiasa, kijamii, au kibiashara)...
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana Africa ndio bara la watu wakarimu zaidi duniani

    Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za...
  8. JamiiForums Tanzania Je wajua? Tanzania ndio nchi pekee ya Africa inayo import kwa asilimia kubwa kutoka JAPAN

    Kulingana na report mbalimbali, Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars. Nitaweka viambatinisho kadhaa, kwa hivyo msione JICA wanajitutumua na misaada yao, wanajua pia sisi Tz ni wateja wao wazuri...
  9. JamiiForums Tanzania Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa . Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi. Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako. Ukija...
  10. JamiiForums Tanzania Kujazwa kwa wazanzibari kikosi cha kwanza Tanzania vs central Africa

    Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside. Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama...
  11. JamiiForums Tanzania Mdudu anayesumbua dunia hasa Africa

    MDUDU ANAYETESA SANA WATU
  12. JamiiForums Tanzania United States of Africa

    Na ikawe kweli kwa maana ni bonge la ndoto
  13. A

    JamiiForums Tanzania Winga Simon Adingra amezaliwa upya Africa Mashariki Pale Uganda...Kwa Jina la Alain Okello

    Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023. Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello... Huyu dogo Okello ni talent mpya ndani ya Afrika Mashariki mwenye attributes purely kama za Simon koffi...
  14. JamiiForums Tanzania Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

    usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
  15. JamiiForums Tanzania Kurudi kwa JR Junior East Africa radio kunaenda kumzima Rich msafi

    Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi, Rich msafi amebaki kama msindikizaji
  16. JamiiForums Tanzania Selcom Pesa: The East Africa Market Disruptor

    Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  18. JamiiForums Tanzania Inspirational African Silhouettes

  19. P

    JamiiForums Tanzania An eye on what’s happening in south africa: operation dudula

    Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear. Xenophobic indigenous people are committing crimes, harassing foreign nationals under pretext of taking...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe. Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…