afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  2. Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  3. Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  4. O

    Kenya Yajipanga Kutwaa Ufunguzi na Fainali ya AFCON 2027

    Kenya imeonyesha matumaini makubwa ya kupewa nafasi ya kuandaa sherehe za ufunguzi na kufunga mashindano ya AFCON 2027, yatakayoandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania. Local Organising Committee (LOC), inayoongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye, imewaambia...
  5. Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  6. CAF Msije mkaleta AFCON Tanzania ni hatari sana

    Kitendo cha magaidi kuua maelfu ya watu tarehe 29 mwezi October 2025 na hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa ni chakutisha Nawasihi CAF wafikirie nchi nyingine salama isiyo na ugaidi ili wapeleke michuano hii. Pia magaidi wengine wameweza kumteka kiongozi mkubwa serikalini ambaye alikuwa...
  7. John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi. Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi? Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa, Utalii na wageni wanaokuja Nchini...
  8. Watekaji wana Weledi kuliko serikali. Ni hatari sana kuleta AFCON Tanzania

    Natoa wito kwa CAF kuwa ijitafakari sana, Tanzania sio salama kama wanavyodhani, ni katika nchi hii tumeshuhudia watu wakitekwa na kupotezwa na miongoni mwao ni aliyekuwa mteule wa Rais. Hii ni hatari kubwa maana hata serikali na vyombo vyake havijui nini kilitokea. Napendekeza CAF waipeleke...
  9. ACT: Tunaitaka SMZ, itoe ufafanuzi kuhusu usahihi wa gharama za Miundombinu ya AFCON Zanzibar

    Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
  10. Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  11. Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  12. Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  13. Dokezo: Serikali ya Tanzania Haiwezi Kutoa Ulinzi kwa Wageni wa AFCON

    Ikiwa mtu kama balozi Polepole alitekwa na mpaka leo Samia na serikali yake hawana majibu, Ally Kibao aliuawa na serikali ikasema kifo ni kifo tu, nasasa magaidi ya CHADEMA yanakamatwa kila kukicha na mhaini Lissu yuko gerezani, usalama wa wageni wa AFCON ni mdogo sana. Kwakuwa serikali haina...
  14. Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  15. Ilikuwa No Reforms No Election, Sasa ni no reforms no Afcon 2027

    Wabishi mtaelewa baadae
  16. 2027 AFCON Panic: No Namboole, No PAMOJA – Prime Minister Nabbanja Warns

    Ugandan Prime Minister, Robinah Nabbanja, has demanded immediate answers regarding the delayed renovations at Namboole National Stadium, warning: “No Namboole, No AFCON.” With AFCON 2027 preparations reportedly stalling in Uganda, the Prime Minister is not hiding her frustration. Fearing that...
  17. Tetesi: Rwanda inaweza kupewa AFCON na Tanzania ikasitishwa ndio maana nguvu imepungua

    Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha. Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
  18. Museveni backs single East African visa for 2027 AFCON

    Museveni talks to the AFCON organising committee Ugandan President Yoweri Museveni has endorsed a proposal to introduce a single East African entry visa for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), which Uganda will co-host with Kenya and Tanzania. Museveni, according to a State House statement...
  19. Kenya’s Road To AFCON 2027

    The Raila Odinga International Stadium is nearing completion ahead of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), where it is expected to serve as Kenya's flagship venue in the continental showpiece. Rising at the historic Jamhuri Grounds along Ngong Road, the 60,000-seat ultra-modern arena has...
  20. PM Nabbanja Commissions Masindi Hospital and AFCON training Facility

    The Prime Minister, Rt. Hon. Robinah Nabbanja commissioned the construction of Masindi Hospital and the groundbreaking for the Masindi Municipal Council Africa Cup of Nations (AFCON) training facility in preparation of the 2027 tournament that will be held in East Africa and co-hosted by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…