afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michuano ya AFCON kwa kiasi chake ina ladha ya soka la Ulaya

    Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya. Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
  2. Mad Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda wametuibia Nafasi yetu kwenye AFCON 2025 Group C!

    Sio haki.
  3. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFCON Group C: Uganda vs Tanzania, Desemba 27, 2025

    Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe. Matokeo bado ni 0-0. Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa. Kila la kheri kwao
  4. DesertStorm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  5. Mad Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFCON 2025 Group C kuingia Round ya 16 Watapita Nigeria na Tunisia

    Sidhani kama ili nalo linahitaji kubet, ila Nigeria na Tunisia wataingia round ya mtoano. Hao wengine wote mwaka mpya wanakula wakiwa kwao.
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti huyu mwamba ana miaka 22 hapo AFCON😂😂

    secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
  7. Foffana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

    Hello Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa...
  8. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My personal opinion: South africa atashinda AFCON

  9. uran

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4. Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros Group B Egypt, South...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afcon, Taifa Star 🌟 atakauwa ni mgawa utamu huko Morocco

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Timu ya taifa ya Tanzania itakuwa ina kazi ya kugawa utamu tu LONDON BOY
  11. Beira Boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afcon, Morocco ataishia robo fainal na kutolewa nje

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Atatoka mapema sana LONDON BOY
  12. Mchochezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

    Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
  14. ChekoFagia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Julio: Gamondi ana uwezo mkubwa kuliko Hemed Morocco, Taifa Stars itafika nusu fainali ya AFCON

    “Kikubwa tuwaombee (Taifa Stars), Mwenyezi Mungu awasaidie wawe na nguvu ya ushindani. Nafikiri kwasababu bwana Gamondi anauwezo mkubwa kuliko (kocha) Morocco, Juma (Mgunda), kuliko Mimi, naamini kabisa sasa hivi tunaweza kufika Nusu Fainali (ya AFCON), Jamhuri Kihwelu 'Julio' Weka maoni yako🤣
  17. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zimebaki siki 11 kipute cha AFCON kianze

    Zimsalia siku 11 kufanyika kwa mashindamno ya AFCON nchini Morocco.
  18. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

    AFCON 2027 Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
  19. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Volunteering Program AFCON 2025 Morocco, Fursa Adimu kwa Vijana wa Tanzania

    Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program. Takribani watu 4,000 wanahitajika kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mashindano haya...
  20. Lamborgini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wa chatgpt AFCON katukataa Tz

    Kwa kuangalia form ya timu na historia ya hivi karibuni, hizi ndizo nafasi zinavyoonekana kwa robo fainali za CHAN 2025: 🔥 Robo Fainali 1. Kenya 🆚 Madagascar Kenya wako kwenye kiwango kizuri sana baada ya kushinda Group A. Madagascar nao wana kasi, lakini Kenya wanaonekana na nafasi kubwa...
Back
Top Bottom