afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. maroon7

    Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  2. DogoWaNjombe

    AFCON: Nusu Fainali: Nigeria 1-1 (4-2) Afrika Kusini : Februari 7, 2024

    Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
  3. M

    Nigeria ni nchi iliyogawanyika hamna uzalendo wa Igbo wanashabikia South Africa AFCON

    Mzuka wanajamvi. Nigeria is a divided nation. Yani hawa wa Igbo wanashabikia Bafanabafana dhidi ya timu yao ya taifa super Eagle. Na wameshangilia kwa jazba south Africa waliposawazisha. Mechi sasa hivi imeenda mda wa ziada baada ya kumalizika 1-1. Kabila la Igbo wenyewe wanajiita Biafra...
  4. DogoWaNjombe

    Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024. Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
  5. I

    Simba wasaka wachezaji kwenye mashindano ya Afcon

    Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25. Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Cote D'Ivoire. ==== Simba ina mikakati mizito ya...
  6. and 998 others

    Nigeria anabeba Ndoo AFCON

    Mapopo wananyanyua ndoo AFCON. Majamaa yana dhiki ya mafanikio
  7. Cheology

    Kwanini Kenya na Uganda hawakuwepo Afcon?

    Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu. Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi Nawasilisha
  8. D

    Taifa stars wa rebuild kikosi kwa yanga kwa afcon ya 2027. Kama South Africa Mamelodi, here is why?

    Reasons 1. Players chemistry yanga wana players chemistry nzuri sana . One the best in Tanzania 🇹🇿 . 2 : GAMONDI BALL mpira upo chini. Awabutui . Wa nafanya build up vizuri . Creativity . The best manager in football in tz 3: DEVELOPMENT IN YOUTH : youth wa napewa time in yanga. Na mpira...
  9. Mfalme_wa_Nyika

    Mashabiki wa Cape Verde toka mwanzo wa Afcon gonga Likes😉

    Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde. Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo... Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja. Hili kombe linaenda kwa underdog
  10. S

    Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  11. DELETED ACCOUNT

    Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Bingwa wa mashindano ya AFCON 2023 anachukua zawadi nono ambayo haijawahi kufikiwa ya dola milioni 7, sawa na shilingi bilioni 17 na milioni 500. Kabla mashindano ya AFCON 2023 hayajaanza, wachezaji wa South Africa "Bafana Bafana" waliingia makubaliano maalumu na Chama cha Soka cha Afrika...
  12. Chizi Maarifa

    Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
  13. GENTAMYCINE

    Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

    Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
  14. Lycaon pictus

    Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

    Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine. Mwaka 2021 FIFA...
  15. Allen Kilewella

    AFCON imethibitisha ligi yetu siyo bora kama tunavyoikuza

    Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine? Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani atavutia timu toka mataifa mengine na kutaka kumsajili?
  16. DELETED ACCOUNT

    Tumeanza kwenda AFCON toka mwaka 1980, bado tunajifunza nini?

    Hivi wadau, mnajua Tanzania ilikwenda AFCON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 wakati huo timu zinazofuzu huko ni 8 tu? Yaani kwa lugha nyingine, tungekaza sasa hivi tungekuwa moja ya magwiji wa mashindano haya na hata ndoo labda tungekuwa tumeshawahi kubeba. Hawa watu wanaosema bado tunajifunza...
  17. DELETED ACCOUNT

    Jezi za Tanzania zasifiwa huko AFCON

    Katika pitapita zangu huku mitandaoni, nimekutana na comment zaidi ya moja ya watu wanaosifia kit ya jezi za Tanzania zilizotumika huko AFCON na nilipofuatilia inaonyesha watu hao siyo Watanzania. Hili ni jambo jema sana. Mfano, kuna mmoja alisema "So this Tanzanian fine jersey just wasted, the...
  18. Lupweko

    Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  19. DogoWaNjombe

    Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana. Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast...
  20. BigBro

    Timu zote AFCON jezi ni Puma kasoro Algeria!

    Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Back
Top Bottom