afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

    Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi. Dakika, 2 Stars...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
  3. Moshi25

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars hiyoo AFCON, hakuna timu ya kutuzuia!

    Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka. Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta yoyote, hapo rank za FIFA huwa hazina kazi , bampa to bampa, piga nami nikupige, Congo DR mabishoo ...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

    Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025 ~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
  5. Tawire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnauhakika Wachezaji Stars wanaitaka AFCON?

    Habari za jioni wakuu? Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi. Team haina maelewano,wachezaji hawana stamina,poor physic. Feisal Salum anafunga goli lakini binafsi haamini kama...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani. Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
  7. Tembosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

    Game ya Kwa Mkapa hii VIKOSI VINAVYOANZA LEO
  8. Tembosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: AFCON Qualification 2025: South Africa 2 - 2 Uganda | Orlando Stadium | 06.09.2024

    Game On... Uganda on lead 14' Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza. HT 1-0 ================= Kipindi cha pili. 45' Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda. 51' Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18. Chuma cha kwanza kwa...
  9. Tembosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: AFCON Qualification 2025: Kenya 0-0 Zimbabwe | 06.09.2024

    Duke Abuya Vs Prince Dube. Game On... 33' Mpira unaendelea kwa kasi sana. Duke Abuya kiungo anaubonda sana leo 35' Kenya wanajitahidi kufika kwenye lango la Zimbabwe wanakaa imara pale. 36' Dube anatoa pasi nzuri inaleta shambulio kali kwenye lango la Kenya. Inaokolewa, Kenya wamekoswa koswa...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars tumefika AFCON last year na kikosi hiki hiki acheni excuses, kocha asepe

    Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki . Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa I will be short Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium |...
  11. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hemed Moroco sijui nini Taifa stars kocha ang'olewe ama atatufikisha AFCON ijayo?

    Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai. Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na mashambulizi ya alhamudulilahi, Wachezaji wanaitwa kwa kuona leo kafanya nini ila hakuna consistence...
  12. Tembosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Clement Mzize amebeba tumaini la Stars kufuzu AFCON 2025

    Mshambuliaji kinda mzoefu wa miaka 20, Clement Mzize, ameonekana kuwa hatari katika kikosi cha Yanga, akionyesha kiwango bora katika mechi za kirafiki na mashindano. Sifa zake za uchezaji zimemfanya kuwa mchezaji wa kutegemewa, na sasa matumaini ya Tanzania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Uwanja wa mpira Arusha utakamilika kwa wakati kwa michuano ya AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Sanga akagua eneo la Samia Arusha AFCON City

    ARUSHA Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC). Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha na limepakana na miradi miwili ya viwanja...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025

    Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024. Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho...
  17. cobyn

    JamiiForums Tanzania Arusha ni sehemu ambayo changamoto ya miundo mbinu ya barabara ni kubwa kuliko sehemu yoyote Tanzania

    Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027 Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na wanamichezo kuhusua maandalizi yenyewe kila mmoja anatoa mawazo ya namna maandalizi haya yafanyikie. Arusha...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Tanzania tuko serious na maandalizi ya AFCON? Kwa Mkapa panakarabatiwa? Arusha kuna hata jiwe limewekwa? Dodoma?

    Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante. Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?. Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
Back
Top Bottom