adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Ayatollah Khamenei asema Netanyahu anastahili adhabu ya kifo na siyo kukamatwa

    Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him addressing the crowd during a meeting with members of the Basij paramilitary force in Tehran on November 25...
  2. Kulikuwa hakuna adhabu nyingine kwa hawa watoto wadogo hadi kuwaua kikatili?

    Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama...
  3. Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo. Pia...
  4. Malezi: Adhabu gani na Wakati gani unapaswa kumuadhibu Mtoto? Hivi ndivyo utakavyofanya.

    MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia. Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
  5. Wafungwa wanatakiwa kufosiwa kuangalia mechi za Man Utd kama sehemu ya adhabu yao 😂

    Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
  6. Kama jinsi wachezaji wanavyopewa bonus na motisha vilevile wapigwe faini na adhabu wanapofanya vibaya

    Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani ya uwezo wao. Mfano baada ya CR Belouizdad kupoteza kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Yanga, wachezaji wote...
  7. Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
  8. P

    TCRA toeni adhabu kali kwa baadhi ya redio na TV

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana. Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya kazi zake nyingi hazina tija katika jamii. Redio na TV nyingi zimekuwa ni wakala wa kuharibu jamii...
  9. Naomba ufafanuzi kuhusu adhabu ya kunyongwa

    Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa? Na huzikwaje?
  10. Unaweza kukabiliwa na adhabu gani endapo ukitembea kipindi bendera inashushwa?

    Najua humu ndani pia wapo makauzu waliovurugwa na wenye stress zao juu ya ugumu wa maisha hasa ukizingatia kama magari aina ya mashangingi, ma cruiser, na ma fortuna STN Yananunuliwa kila uchwao... ni wale ambao wanapopita karibu na taasisi za umma mida ya 18:00 jioni huwa hawana habari hata...
  11. E

    CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

    Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
  12. Adhabu niliyowahi kupewa na mapadre wa katoliki

    Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13 1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12. 2. Kuchapwa viboko 30 3. Kufukuzwa shule MUNGU NI WETU SOTE
  13. Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  14. Adhabu kwa mkanda wa genge

    Matendo Na. 4 ya 1998 7A : 19 ya 2007 131A.- (1) Pale ambapo kosa la ubakaji limetendwa na mtu mmoja au zaidi katika kundi la watu, kila mtu katika kikundi ambaye anatenda au kuunga mkono kutenda kosa hilo ataadhibiwa kwa kosa la ubakaji wa genge. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo...
  15. Ni adhabu tosha kwa Israeli

    Kiongozi wa Hizbullah Nasrallah: Kusubiri wiki moja kwa Israeli shambulio la Iran ni sehemu ya adhabu Israeli hana ubabe tena ni mwoga na hajui atafanya nini endapo US ataacha kumpa msaada
  16. Tukumee kwa nguvu zote vitendo vya ulawiti kama adhabu kwa binadamu wengine kwa sababu zozote zile.

    Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
  17. Kwa kumuacha huku Onana hapa sasa tumeenda sawa na Kunifurahisha, ila naomba Kibu Denis apewe Adhabu Kali au aombe Radhi leo kwa Mkapa

    Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri. Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
  18. Adhabu ya kufukuzwa shule ibadilishwe

    Taifa linahitaji vijana wasomi na wenye elimu na maarifa ya kutosha, sasa inakuaje tena kunakuwa na adhabu ya kuwafukuza shule vijana hawa ambao ndio taifa la kesho pale wanapokutwa na makosa ya utovu wa nidhamu wakiwa shule wakitafuta elimu ambayo ndio mkombozi wao wa baadae? Unamfukuza shule...
  19. Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  20. S

    Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

    Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…