Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva!
Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao za mafanikio katika kiwanda Cha muziki! Zaidi ya asilimia 70 ya wasanii walioibuka kabla ya...