Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,486
20,438
Jana mida ya saa 5 usiku katika baa moja maarufu maeneo ya Sinza (jina kapuni) kulitokea patashika baada ya mtangazaji Adam Mchomvu na msanii Ney wa Mitego kukutana.

Chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Mchomvu kupata kopi ya singo mpya ambayo haijatoka rasmi kutoka kwa Ney ambayo kuna jina la Mchomvu limetajwa ndani.

Watu waliokuwa karibu na mastaa hao walimshika Mchomvu na hivyo wakafanikiwa kuokoa maisha ya Ney wa Mitego yaliyokuwa hatarini.
 
Mimi nilikuwa na mawazo kama yako mwanzoni ila nilikuja kupigwa na askari fulani pale mtwara anaitwa Alex yule fala anaijua karate balaa baadae nilipokuja kufuatlia kumbe ana mkanda wa karate ila shida nilijiamini kupitiliza nikajiona hakuna kama mimi kwenye suala la martial arts
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom