abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Daladala za Mbezi – Makumbusho zinaishia Magomeni, abiria tunateseka

    Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Abiria na kondakta wa daladala warushiana ngumi na kushikama mashati kisa nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho

    Abiria na kondakta wa daladala wameingia kwenye mzozo wa kurushiana ngumi na kushikama mashati kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya Morogoro. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 2:40 asubuhi baada ya abiria mmoja kudai kuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Mabasi ya abiria mijini kuitwa Daladala kunatudhalilisha Sisi wamiliki

    Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu. Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.
  6. JamiiForums Tanzania Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥 🔌 Type-C + USB (Fast Charging) 📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma 💡 LED ya kisasa inayovutia 👨‍👩‍👧‍👦 Inafaa kwa dereva...
  7. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajidai muhudumu wa basi na kuibia abiria

    Wezi kila siku wanabuni mbinu pya ili kutimiza nia zao ovu, huyo kwenye video alijidai mfanyakazi wa basi la Abood na kudai tiketi kisha iliyokuwa kwenye simu akajifanya anaenda kukagua akaondoka na simu
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya Guta la mizigo ina utofauti gani na biashara ya bajaj ya abiria?

    Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha abiria kutop-up balance bila kupanga foleni?

    Wakazi wa Kigamboni kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia Vivuko vipya ambavyo ni vya Azam maarufu kama SeaTax kazi yao ni nzuri, lakini kuna hii Kampuni N-CARD ambayo imekuwa ikihudumia upande wa hizi card zinazotumika kukata ticket ili uweze kuvuka. Kinachonishangaza kwa kipindi cha digital...
  11. JamiiForums Tanzania Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  12. JamiiForums Tanzania SGR hali mbaya, imeanza kuzidiwa abiria kama mwendokasi tu

    Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
  13. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Abiria SGR wasota stesheni, Mvua zakwamisha safari za Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
  15. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi wakikagua abiria Tegeta Kibaoni

    Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
  17. JamiiForums Tanzania Abiria wafurika Mbezi - Magufuri, sababu ni ipi

    Adha ya usafiri kutoka jiji la Dar Es Salaam kwenda Mikoa mingine nchini bado imekuwa kitendawili ambacho kila Mwisho wa mwaka hasa mwezi wa 12 kinakosa kutenguliwa. Inaelezwa kuwa kwa mwezi wa 12 kwa mwaka huu 2025 Ongezeko la abiria limekuwa mara dufu na mapema sana(kuanzia Disemba 01, 2025)...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  19. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  20. JamiiForums Tanzania Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

    Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29, huduma hiyo imeanza rasmi kurejea leo kwa kubeba abiria. Katika baadhi ya vituo vya Kilwa Road, mabasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…