๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa Dini

    Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma na amesisitiza kwamba Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini...
  2. JamiiForums Tanzania Kanisa la Siri la Iran: Imani inayokua chini ya mateso

    ๐Š๐€๐๐ˆ๐’๐€ ๐‹๐€ ๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‹๐€ ๐ˆ๐‘๐€๐: ๐ˆ๐Œ๐€๐๐ˆ ๐ˆ๐๐€๐˜๐Ž๐Š๐”๐€ ๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐“๐„๐’๐Ž Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979, Iran imekuwa moja ya nchi zinazodhibiti kwa ukali sana uhuru wa dini, hasa kwa wale wanaoacha Uislamu na kuifuata imani ya Kikristo. Hata hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, Ukristo nchini Iran...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Aongoza kikao cha kujadili changamoto za kibiashara kati ya Tanzania na Zambia

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—จ๐—๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ก๐—” ๐—ญ๐—”๐— ๐—•๐—œ๐—” Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 16, 2026 ameongoza kikao cha kimkakati na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu wa kisekta, Ofisini kwake, Mlimwa Jijini Dodoma. Katika kikao hicho...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dar: Nchimbi azindua jengo la viongozi mashuhuri Terminal 3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali imejizatiti kuhakikisha Sekta ya Uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa kwenye nafasi nzuri ya ushindani wa kibiashara, kuongeza mapato ya fedha za kigeni na kukuza mchango wa sekta hiyo katika...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza mkutano kazi na Mawaziri

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐— ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma. Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili...
  6. JamiiForums Tanzania Katika zama hizi za kidijitali, teknolojia na sayansi zimeanza kufungua macho ya wanadamu kuhusu dini na madai yake ya kihistoria

    Katika zama hizi za kidijitali, teknolojia na sayansi zimeanza kufungua macho ya wanadamu kuhusu dini na madai yake ya kihistoria. Mabadiliko haya hayajakuja tu kuharakisha mawasiliano, bali yameongeza uwazi katika maandiko, historia, na hoja za kidini. Leo, hakuna tena nafasi ya kuficha taarifa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—œ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 09, 2026 amekutana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu anazungumza na machinga, madereva pikipiki na bajaji

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ก๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—”, ๐— ๐—”๐——๐—˜๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—ž๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—”๐—๐—”๐—๐—œ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Waziri Mkuu na wamachinga, madereva pikipiki na bajaj za kubeba abiria

    ๐—ž๐—ข๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ช๐—”๐— ๐—”๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—”, ๐— ๐—”๐——๐—˜๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—ž๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—”๐—๐—”๐—๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—•๐—˜๐—•๐—” ๐—”๐—•๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—” Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ“† Alhamisi - Januari 08, 2026. ๐Ÿ•ฐ๏ธ Saa 4 Asubuhi. ๐Ÿ“Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) - Dar es Salaam.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki kikao cha Baraza la Amani na Usalama cha AU, aunga mkono JIT

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—•๐—”๐—ฅ๐—”๐—ญ๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐—”๐—จ, ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—ก๐—ข ๐—๐—œ๐—ง๐—œ๐—›๐—”๐——๐—” ๐—ญ๐—” ๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—ข๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki kwa njia ya mtandao Mkutano wa 1324 wa Baraza la Amani na Usalama wa Umoja wa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba azungumza na wananchi walioathiriwa na mvua Kilosa

    - Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani Morogoro ambao wameathirika na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaeleza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐˜€ ๐˜„๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

    ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐˜€ ๐˜„๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan has received a written message from President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, concerning bilateral relations between the two countries. The...
  13. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฒ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฉ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐——๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฒ๐˜€ ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ฎ๐—บ

    ๐—ฆ๐—ฒ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฉ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐——๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฒ๐˜€ ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ฎ๐—บ Mgeni rasmi: Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mada: Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kulinda na kuendeleza Muungano. ๐Ÿ“† 23 Desemba, 2025. ๐Ÿ•ฐ๏ธ Saa 3 Asubuhi - 6 Mchana. ๐Ÿ“JNICC - Ruaha...
  14. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ฎ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ด๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฒ๐Ÿญ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ

    ๐—ก๐—ฎ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ด๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฒ๐Ÿญ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameshiriki sherehe ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia, zilizofanyika jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2025...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa dharura wa mawaziri wa ICGLR โ€“ PSC Framework wahimiza ushirikiano wa kikanda

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa DRC na Eneo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatazama watoto wote kwa jicho la karibu

    Na Witness Masalu, WMJJWM-Dodoma Serikali yaendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote nchini hususani wanaoishi katika mazingira magumu wanafikiwa na kupatiwa huduma stahiki. Hayo yamebainishwa na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo sita (06) ya kujifunza kabla hujaanza kuishi mwenyewe magetoni tafadhali

    1๏ธโƒฃ >Jua kwamba sasa umepata uhuru ambao ukiutumia vibaya basi maisha yako yanaenda kuharibika mara moja. Kuna wengine mmekuwa salama kwa sababu mlikuwa mkiishi kwa wazazi na walezi wenu hivyo sheria zao zimewalinda na mkawa salama . Sasa unaanza kuishi mwenyewe usalama wako ni jukumu lako...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza kikao cha wizara mbili za Tanzania na Balozi wa China

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Kombo (Mb.) amefanya kikao kazi na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian pamoja na Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam leo tarehe 6 Desemba 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi afanya ziara rasmi ya kikazi wilayani nyasa

    ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—œ ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—”๐—ช๐—œ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ญ๐—œ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—ฌ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—ฌ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—ฎ ๐—•๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ป๐—ผ๐—ฐ๐—ฒ๐—ป๐˜, ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐˜€๐—ฎ Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Agnes Richard Kayola amefanya ziara rasmi ya Kikazi Wilayani Nyasa kwa lengo la kuona fursa za uwekezaji,raslimali zilizopo na kukiri kuwa iwapo...
  20. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi asisitiza umuhimu wa kulinda mazingira na muungano

    ๐—ง๐—”๐—”๐—ฅ๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—•๐—”๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—œ๐—ญ๐—” ๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐——๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—จ๐—จ๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—ข Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ