DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

Mwaka mpya kwa dose tu hadi kitaeleweka, JK, RA, Chenge, Mkono, EL, pamoja na makuwadi wenu kaeni mkao wa kula bado tuna nyinyi.
 
Invisible ndo naipata saa hii saa 6.19 ya tarehe 1/1/2011. Niko macho. I have a very good gift for 2011. Ubarikiwe sana.
 
Mungu akubariki mkuu nipo Amsterdam hapa nasubiri mwaka mpya, hongera huko nyumbani mmevuka.

Tayari nimeifyonza nasoma sasa
 
asante mkuu,ndo nataka kuisoma kwa makini alafu nitoe commets zangu
 
Shukrani!Ngoja tuanze kukamua vitu vya mwisho mwisho vya mwaka wa 2010.
 
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa

Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:

a) CCM ni mbaya

b) JK hafai

c) DR SLAA is the right person

d) ROSTAM ashitakiwe


USHAURI:

Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
 
Nilikuwa nataja kusherekea mwaka mpya.... lakini that can wait this is more important ngoja nikaweke kahawa na niketi na kusoma hii document.

BY THE WAY PEOPLE HAPPY NEW YEAR.... THOUGH I HAVE GOT A FEELING IT WONT BE HAPPY AT ALL... KASI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI!!!!!!!
 
Mkuu Invisible.
Thanx kwa dossier hii. ninaidownload ili niisome usiku huu.

nakutakia mwaka mpya mwema nawe pia..
 
Mkuu haipatikani tena najaribu kuipakua lakini wapi!imechakachuliwa nini!
 
Back
Top Bottom