Search results

  1. Mtade_Halisi

    Ufafanuzi kuhusu shares za Utuexchange

    Tembelea www.utuexchange.com for more...
  2. Mtade_Halisi

    Ufafanuzi kuhusu shares za Utuexchange

    Ndugu wadau wa JF naomba ufafanuzi wa yafuatayo kuhusu utuexchange Ninanuaje hisa? Ninauzaje hisa Hisa moja ina thamani gani? Nitapataje malipo yangu? Nitanunuaje kama nataka hisa kwa fedha taslimu UFAFANUZI TAFADHALI KWA WAHUSIKA...
  3. Mtade_Halisi

    Mzungu wa nne

    Sio fresh kulala mzungu wa nne na mumeo eti kwa kuwa ananuka pombe hapo kuna jambo zito zaidi ya hiyo harufu
  4. Mtade_Halisi

    Miriam Makeba hatunaye tena

    RIP mama tutakukumbuka kwa wimbo wako wa Malaika...
  5. Mtade_Halisi

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Hawa jamaa wa theutamu ndio zao wanajaribu kutafuta popularity wanajidai blog imefutwa kumbe wanatuzuga... mbona wamebadili jina kiaina
  6. Mtade_Halisi

    'www.mwananchi.co.tz' has been hacked

    Mahacker wamekuwa wengi siku hizi blog nyingine inayojiita UTAMU imekuwa hacked pia na kufutwa. Check hapo http://theutamu.blogspot.com/
  7. Mtade_Halisi

    Msaada: Scholarship

    Schorships nyingi ainahitahi uwe umeperform vizuri na uwe na experience ya at least 3 years kwa case ya masters.
  8. Mtade_Halisi

    CPJ Condemns the arrest of JF members!

    New York, February 29, 2008—CPJ condemns the arbitrary arrest of two popular online editors without charge. The two were detained and interrogated for 24 hours in Dar es Salaam, Tanzania, on February 18, in what observers of the case say was a politically motivated attempt to shutter the site...
  9. Mtade_Halisi

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Ndugu wanaJF baada ya Lowassa kujieleza hapo jana na kujaribu kujitetea kwa pointless hebu tumjadili nini mustakabali wake ki siasa kwa sasa na siku za usoni. Nawakilisha hoja hii kwa kutoa profile yake hapa pia nadhani ni nyema tukaanzisha thread za kuwachambua wanasiasa mbali mbali...
  10. Mtade_Halisi

    Lowassa anasafishwa!

    Picha (attached) ya Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akishuka kwenye ndege ya kampuni ya Coastal Air mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndge wa Arusha. Swali je pesa hizi na mandalizi kule Monduli anastahili na ni pesa zetu za kodi sisi walalahoi an ndio kutoka mfuko wa kifisadi??
  11. Mtade_Halisi

    Twiga stars walala 3-0 kwa wacameroon

    Timu soka ya Taifa ya wanawake a.k.a Twiga stars jioni hii imelala 3-0 mbele ya wadada wa cameroon.hadi Kipindi cha kwanza Cameroon walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0. Mabao mengine mawili yalipatikana kipindi cha pili hivyo kuiweka Twiga stars katika wakati mgumu kufuzu mashindano ya Africa.Twiga...
  12. Mtade_Halisi

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    See attched latest photos.... CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa mara ya kwanza kimelazimika kutumia usafiri wa helikopta katika kusaka ushindi wa mgombea wake wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara. Hatua hiyo ya CCM kutumia chopa, imekuja ikiwa ni siku moja tu...
  13. Mtade_Halisi

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    See attched latest photos.... CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa mara ya kwanza kimelazimika kutumia usafiri wa helikopta katika kusaka ushindi wa mgombea wake wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara. Hatua hiyo ya CCM kutumia chopa, imekuja ikiwa ni siku moja tu...
  14. Mtade_Halisi

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    Picha latest kutoka huko KITETO... See attached...
  15. Mtade_Halisi

    Arsenal wanaongoza, Erduado avujwa mguu

    Mpira umekwisha FT Score Arsena 2 Birmingham 2,jamaa wamesawazisha kwa penati dakika za majeruhi kupitia kwa MCFadden, Watoto wa Emirates kama kawaida bado wanaendelea kubaki kileleni mwa premia kwa gape la points 6.
  16. Mtade_Halisi

    Lowassa anasafishwa!

    Kama kawaida ya uozo wa serikali yetu lazima siku moja huyu fisadi atarudi madarakani tena kwa post kubwa.Watanzania tuamkeni mambo kama haya si ya kuyafumbia macho mtu anaiba mabilioni yatu na sasa anageuzwa kuwa shujaa....
  17. Mtade_Halisi

    Arsenal wanaongoza, Erduado avujwa mguu

    Hello wadau wa soka, The gunners mpaka sasa dakika ya 78 wanaongoza kwa mabao 2-1 dhidi ya Birmigham city. Hadi Kipindi cha kwanza Arsenal walikuwa wamelala kwa bao moja lililopachikwa kimiani na mshambuliaji J. McFadden dk. ya 28 pia katika kipindi hicho cha kwanza mshambuliaji machachari wa...
  18. Mtade_Halisi

    Pole kwa yaliyokupata Kipenzi changu Jambo Forum

    Na sas JF imerudi kwa kishindo bila woga na nia ni moja kusafisha serikali yetu tuwe na viongozi waadilifu wenye kutetea na kujenga maslahi ya Taifa letu.
  19. Mtade_Halisi

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    Vurugu zazidi kurindima Kiteto 2008-02-22 09:57:20 Na Simon Mhina, Kiteto Maofisa wa Jeshi la polisi na Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) jana walilazimika kumshusha jukwaani Mbunge wa Mbinga na Mkurugenzi wa kundi la sanaa la TOT, kapteni John Komba, baada ya kuibuka vurugu kubwa za...
  20. Mtade_Halisi

    Kurudi kwa JF: Je, nini hatma ya umaarufu wake?

    Mbalamwezi you are very right kwa kweli wametupatia umaarufu mimi nilikuwa siijui JF na sasa nimejiunga rasmi. Nina mengi ya kushare na waTanzania wenzangu wenye uchu wa kuona nchi yetu inakuwa ya neema. Tunakemea wote wanaojaribu kudidimiza jitihada za JF za kuwaelemisha na kuwapa mwanga...
Back
Top Bottom