Twiga stars walala 3-0 kwa wacameroon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twiga stars walala 3-0 kwa wacameroon

Discussion in 'Sports' started by Mtade_Halisi, Feb 23, 2008.

 1. Mtade_Halisi

  Mtade_Halisi Member

  #1
  Feb 23, 2008
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Timu soka ya Taifa ya wanawake a.k.a Twiga stars jioni hii imelala 3-0 mbele ya wadada wa cameroon.hadi Kipindi cha kwanza Cameroon walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0. Mabao mengine mawili yalipatikana kipindi cha pili hivyo kuiweka Twiga stars katika wakati mgumu kufuzu mashindano ya Africa.Twiga stars wanahitaji ushindi wa mabao 4-0 ili kuweza kufuzu watakapopambana na wacameroon hao kule Younde kwenye ngwe ya marudiano. Pata picha toka taifa kwa mujibu wa Michuzi blog...
   

  Attached Files:

 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,856
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Leo nimewaona hawa dada Ikulu wakitiwa moyo!

  Sasa may be Cameroon basi wasiende --watafungwa mno bao nyingi na ni kupoteza nauli bure!
   
 3. m

  mvumilivu Member

  #3
  Feb 23, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umenifanya nicheke nahurumia mbavu zangu.
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,436
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Cameroon ni moja kati ya timu mbili za football ya wanawake, zilizo bora kabisa ktk bara la Africa, nyingine ni Nigeria. hivyo isitukatishe tamaa, kwani kinachotakiwa ni maandalizi mazuri. hata Mkwasa (coach) alishakata tamaa mapema kutokana na uduni wa maandalizi. suala la kuitwa ikulu halina mchango wa maana kiufundi, maandalizi makini ndiyo muhimu.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kocha naye maneno meeengi! Halafu kwa visingizio anaongoza. Mie nadhani ili kuokoa hasara na kipigo cha aibu kwa Taifa, huko Yaunde bora wasiende; tusubiri kulipa faini tu basi.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kupigwa ngumi za uso mbele ya mkeo/mumeo ndo ukubwa huo..Sasa kama tusipoenda, Cameroon itaonekanaje kijogoo?

  Teh teh teh..
   
Loading...