Search results

  1. bahaticaro

    Kuna umuhimu wa kumshirikisha mpenzi mpya mambo ya mpenzi wa zamani?

    Kuna ulazima wowote wa kushare ur past things/shits with your new boyfriend and if yes unadhan ukifanya hvy itakuongezea chochote kama yeye kukupenda zaidi au kukutreat tofaut maana huwa inafikia point unatamani kushare maumivu yako na kila mtu mahusiano yanaumiza jamani kama ukikutana na wrong...
  2. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    kama wewe ni kijana ambaye una umri wa miaka 25 hii ni speacial kwa wasichana ukipata chance ya kuolewa aisee usiikatae cz i did my reserch about this marriage things nikagundua kuwa unamuhimu wa kuolewa mapema faida ya kwanza unajijengea heshima binafsi wazazi pamoja na jamii , pili...
  3. bahaticaro

    Unaoa kabila au mtu?

    Habarini wanajamvi. Mimi naudhika jamani kama humu ndani kuna wazazi samahani sana, ila mnakosea sana kulazimisha mabinti zenu kuolewa na aina ya kabila fulani. Kwani mtu anaoa kabila au mtu.Utakuta watu wameshapendana wakifika nyumbani wazazi wanakataa eti kigezo kabila fulani...
  4. bahaticaro

    Nini chanzo cha michepuko, je watarajiwa wa ndoa michepuko tunaizuiaje?

    Habari zenu wanajamvi Jamani mimi mpaka naogopa kuolewa Jamani, I meet this guy ameoa ana watoto watatu lakini anaenda kulala na machangudoa jamani ambao wanatafutiwa na madereva bajaji. Yaani nilisimuliwa na dereva bajaj mpaka nikasisimka kuna haja ya kuolewa kama mambo ndiyo yapo...
  5. bahaticaro

    Naombeni msaada wa haraka

    Hey guys eti mwanamke ana uwezo wa kukaaa muda gani bila kushiriki tendo la ndoa? na mwanaume je?
  6. bahaticaro

    Nina mtaji wa million mbili, je unafaa kuanzisha biashara?

    Nina mtaj wa million mbil je unafaa kuanzisha biashara n if yes ni biashara gan mim biashara nilizokuwa nawazia kil nikijaribu kuuliz ambao wanafana wananiambia mtaj million mbil kwahy imekuwa ngumu kidg
  7. bahaticaro

    Naombeni msaada

    Nida ajira zao zikoje huwa wanatangaz au plz anayejua naomb anijuz
  8. bahaticaro

    Mwenye ujuzi aniambie kama hii ni sawa

    Boyfriend is too busy na church things mpaka ananisahau jamani kaenda kwenye kongamano tangu ameenda no calls no msg hiv hii inamaanisha nini eti?
  9. bahaticaro

    Huku kupendwa au ni kitu gan hiki

    Jamn mim nashindwa kuelewa sijui mim ni mshamba au ni mgumu kuelewa sana...mpenz yupo buzy kuliko kawaida yaan no kuwasiliana nikijidai kijipigisha simu naambiwa am yours baby what else do i need nachok je jamn iv wapenz ndy wanatakiwa kuishi hv kwel embu naomb mnijuz pleeez
  10. bahaticaro

    Nisaidieni, dushelele yake inaweza kukua tena?

    Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi inaweza kukua tena kweli au ndiyo basi tena?
  11. bahaticaro

    naomben msaada wa haraka....

    jamn period yangu imenibadilikia ghafla inatok damu nyeusii nzito nashindwa kuelewa nin tatizo
  12. bahaticaro

    wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

    :A S cry::A S cry: Jamn my friend kaolewa hat miezi miwili haijapita ni mjamzito ana mimba ya miezi sita jana mume wake kakamatwa anafanya ngono na na mwanamke mwingn kweny gar gari yenyew ya huyo dada jaman akijua si mimba inaweza kutoka ...alafu et bila aibu ananipigia simu nikamtolee kit...
  13. bahaticaro

    Hahahahahahha! hii funga mwaka

    sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na simu inayozidi elfu 50.... yaan sijui nifanyaje umaskin nomaaah
  14. bahaticaro

    mabinti tuwe makini na hili jambo la sivyo kidagaa kitatudodea......

    kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye hafanyi chochote na hapo alipo anaishi kwa binamu wake au kwa shosti tubadilike kwa kweli
  15. bahaticaro

    Jaman wakaka mtatumaliza kwa presha huuuh!

    Jamn rafik yangu analia mpak nashndwa nimuambie kitu gan tena cha kumfariji atulie....boyfriend wake kamjibu hovyo jamn the girl is trying to advice his boyfriend kuhusu future yao like kuanza kununua baadhi ya vitu cz boyfriend anapoishi hana hata kiti but huyo mwanaume kamuambia go and...
  16. bahaticaro

    Wadada someni hiii msijeumia kama mim....inaumiza sanaaa

    I met what i used to call my boyfriend or my love nikiwa chuo mwaka wa pili tulipendana sana kukutana naye i was like oooh..OMG this is the perfect man i was looking for kumbe mtu alikuwa sio siwez kusema ana makosa peke yake labda hata mim nilikosea.. huyo kidume kumbe alikuwa ameshazaa na...
  17. bahaticaro

    Huyu naye....

    kaishi na boyfriend mwaka mzima et now karud kwao kisa et anajiskia viby ndy kashtuka kam ni dhambi....:bored:
  18. bahaticaro

    natafuta friends wa kike

    mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good alafu as we move on na maisha interest zinatofautian...huh naborekaje nimekuwa ni mtu wa kulala tu...
  19. bahaticaro

    Hivi hii tabia ya kujisogeza kwa maboyfriend ni nzuri?

    imekuwa ni habr ya town now kila mweny boyfriend ambaye anaishi peke yake yupo na girlfriend (anaanza kuishi nsye). Sasa mimi nashindwa kuelewa inakuwaje. Mimi sijui ni ushamba, hii style ya kujisogeza imenishinda :noidea:
  20. bahaticaro

    Jamani kukaa kwenye mahusiano muda mrefu inaboa sana

    Nimekaa kwenye mahusiano seven years mara tuachane mara turudiane dah mpak inaboa hata sitamani tena kuolewa naye
Back
Top Bottom