mabinti tuwe makini na hili jambo la sivyo kidagaa kitatudodea......

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye hafanyi chochote na hapo alipo anaishi kwa binamu wake au kwa shosti tubadilike kwa kweli
 
Lol lazima wacheki kama una financial support ya kutosha...hujui kama wanaume ndo kitega uchumi siku hizi!!!Nakwambia hivo kwasababu binti mwenye busara zake hafanyi mambo kama hayo...Cheers..
 
Akili za wanawake/mabinti wengi ni za kujumlisha tu hazina kutoa, na ndio maana walio wengi wanaishia kumegwa na kuachwa.
 
status muhimu kujua ndugu yangu... though other question is unnecessary but its important....kuna wanaume in appearance they are real gentlemen go inside you become a mama of him.....
 
kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye hafanyi chochote na hapo alipo anaishi kwa binamu wake au kwa shosti tubadilike kwa kweli

Wapo fasta kweli
 
Bora hata hayo maswali ya nyumba na gari ni machache ila hilo unafanya kazi wapi ni LAZIMA. Kaa Mbali Wewe
 
Akili zao mbili tu,kujua jina lake na ile ya kuvukia barabara. Unamjibu tu unavyotaka,gari unasema ninalo,nyuma nayo,kazi unamwambia TRA au Bandarini utaona kama atafanya hata utafiti. chezea akili mbili walivyo!
 
kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye hafanyi chochote na hapo alipo anaishi kwa binamu wake au kwa shosti tubadilike kwa kweli

Mbeya maeneo ya sido kuna duka limeandikwa SHIKAMOO PESA! Nahisi wanawake wa siku hizi mmejibandika hilo bango kwenye mioyo yenu! In short wote mnajiuza with exception to the old fashion ladies! Narudia tena WADADA WA SIKU HIZI MNAJIUZA hata kama hamjipangi maeneo ya biashara!
 
Akili zao mbili tu,kujua jina lake na ile ya kuvukia barabara. Unamjibu tu unavyotaka,gari unasema ninalo,nyuma nayo,kazi unamwambia TRA au Bandarini utaona kama atafanya hata utafiti. chezea akili mbili walivyo!

Pokea like yangu. Na tutawagegeda sana kwa magari ya kuazima. Naenda kwa fundi garage namwambia nipe gari ya test naenda kugegedea mtu!
 
naa akijua una gari, nyumba na kazi nzuri atakuganda akijidai kakupenda kumbe amependa vitu shenzi taipu
 
hakuna shaka tutawajibu tu bila kinyongo na maswali hayo hayo tutawauliza ninyi.
Nalog off
 
kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye hafanyi chochote na hapo alipo anaishi kwa binamu wake au kwa shosti tubadilike kwa kweli

Sidhani kama in the world of elites a person may ask you such as thing, sijui ninaishi dunia gani perhaps napitwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom