Nida bwana huwa hawatangaz ajira pale hata ukienda makao makuu pale kinondon unakutana na matangazo kuwa hamna kazi,ila me nadhan nafas zikitokea yale yale wanachomekana wenyewe kwa wenyewe,mf.me mwenyewe ni mhanga kuna jamaa ni hr ktk tawi lao kule mikochen sijui kanirusha miaka 2 sasa nilichohisi anataka rushwa kwa hiyo ndio mazingira yao hayo.