Jamani kukaa kwenye mahusiano muda mrefu inaboa sana

Jamani kukaa kwenye mahusiano muda mrefu inaboa sana

Kweli hili ni tatizo wanawake wengi ni pasua kichwa wanajiamini sana..ukiwapga chini wengi wanapagwa ..
 
Nimekaa kwenye mahusiano seven years mara tuachane mara turudiane dah mpak inaboa hata sitamani tena kuolewa naye

Mapenzi yenu yanakatika katika kama umeme unavyokatika? Kwa miaka saba? Lol!

On serious note, miaka mliyokaa ni mingi mno na huenda kuna vitu fulani vizuri vinavyowafanya mrudiane kila mnapotengana. Ni vyema kukaa chini kwa pamoja na kuangalia mambo ambayo yanawafanya muwe mnaachana achana kila wakati na kuyatatua ili muishi kwenye maisha ya furaha, amani na upendo na kuondoa hali ya kuboreka iliyokukumba!

Kila la kheri.
 
Mimi ikifikia miaka saba ...Ni lazima NIMUOE huyo mtu....Coz hamna ndoa itakuwa rahisi kuiendesha kama hiyo.....especily huyo ambae manaachana mnarudi...mnakuwa mmetengeneza njia nzuri sana ya kusolve conflict na mamabo mengine....
 
Nimekaa kwenye mahusiano seven years mara tuachane mara turudiane dah mpak inaboa hata sitamani tena kuolewa naye

Kati ya visa vinavyosababisha muachane huwa kuna vinavyohusiana na usaliti wa mapenzi???
 
Mimi siafikiani na ww Dr.Mo sasa hayo mapenzi ya on and off yakifika kwenye ndoa wakiwa na conflict watakuwa wanatalakiana na kurudiana ama?Kuna njia ya kusolve coflicts lakini si kwa kuachana na kurudiana...Nadhani they are incomplatible ndio maana wanatibuana saa zote...
Mimi ikifikia miaka saba ...Ni lazima NIMUOE huyo mtu....Coz hamna ndoa itakuwa rahisi kuiendesha kama hiyo.....especily huyo ambae manaachana mnarudi...mnakuwa mmetengeneza njia nzuri sana ya kusolve conflict na mamabo mengine....
 
Nimekaa kwenye mahusiano seven years mara tuachane mara turudiane dah mpak inaboa hata sitamani tena kuolewa naye

usinichekeshe miaka 7 yote mnafanya nn! Hakuna mapenzi hapo ni mazoea tu ndio yanayowarudisha pamoja. Kila mmoja hajapata anayemfaa ndio maana hakuna anyeona umuhimu wa kufunga ndoa.
 
ni kawaida hio system
hata mie nataka mtu km huyo sio wa kufatana kila saa,ila magonjwa nje nje sijui huo muda tulioachana hagongi nje?:bored:
 
^^
Miaka 7 !!! Una moyo
Kama alivosema mimi49 hamuendani,,ingeleta maana kama mgekuwa kwenye ndoa
^^
 
Last edited by a moderator:
Na PM zitaanza kumiminika...smart move
 
Mimi siafikiani na ww Dr.Mo sasa hayo mapenzi ya on and off yakifika kwenye ndoa wakiwa na conflict watakuwa wanatalakiana na kurudiana ama?Kuna njia ya kusolve coflicts lakini si kwa kuachana na kurudiana...Nadhani they are incomplatible ndio maana wanatibuana saa zote...
Mamy..... mimi49....ukikaa na mtu miaka yote hiyo mnakuwa mnajuana vizuri sana...in and out...seven years si mchezo...ila mbaya ni hiyo ya kuachana...achana...
 
Mamy..... mimi49....ukikaa na mtu miaka yote hiyo mnakuwa mnajuana vizuri sana...in and out...seven years si mchezo...ila mbaya ni hiyo ya kuachana...achana...
Unajua kuachana kiukweli ni shida sana kama mmeshazoeana inahitaji moyo,haswa kama mmezaa mazoea yana tabu sanaaa..halafu ukifikiria process za kuanza kutafuta mwenza mpya na maisha yenyewe ya sasa mnaishia kurudiana lakini Dr.Mo kama hamuendani hamuendani tuuuu speaking from personal experience nilikuwa kwenye relationship for 5 long years and we could never make the ends meet cause we are incompatible in every single way,ye akienda EAST mimi naenda WEST sasa haiwezekani hivo..
Kwa mtazamo wangu ili NDOA iwe na mafiniko lazima muendane kitabia na ndio mtakapokuwa comfortable around each other BUT if you people are incompatible it means your trying to be someone else than yourself to make the ends meet or to please someone else ...HUWEZI KUCHANGANYA MAJI NA MAFUTA Dr.Mo
 
Back
Top Bottom