Search results

  1. akohi

    Aina ya Mask na matumizi yake

    Sio kila mask inaweza kukusaidia kuepuka Corona Sent using Jamii Forums mobile app
  2. akohi

    Noah inauzwa 13m

    Ya mwaka 2000 Cc 1990 SR40 engine Haina shida yoyote 0764800989
  3. akohi

    Tunatoa huduma ya Kusaga na Kukoboa Mahindi kuanzia tani 1

    Wasiliana nasi, tuweze kukuhudumia. Njoo na mahindi yako, tutakukobolea na kukusagia kwa gharama nafuu. Huduma hii ni kuanzia tani 1 maana mashine zetu zina uwezo mkubwa wa kukoboa zaidi ya tani 30 kwa siku. Unaweza kuja na mifuko yako yenye ujazo tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako...
  4. akohi

    Mahindi yanahitajika haraka kwa ajili ya kiwanda cha sembe

    Salama humu. Anahitajika business partner mwenye uwezo wa ku supply tani 30 za mahindi kila baada ya wiki mbili. Yawe mahindi yanayofaa kwa kukobolewa/sembe Kiwanda cha sembe kiko Kigamboni na kina uwezo wa kukoboa na kusaga tani 10 kwa siku. Ongezeko la wateja limezidi uwezo wetu na...
  5. akohi

    Njia Rahisi Kukwepa Speed/Traffic Camera

    Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya. Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu. Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play Unachofanya ni kudownload...
  6. akohi

    Namba ya kuondoa tatizo la kuishiwa mafuta bila kujua

    Wadau salama? Naona sasa imekuwa kawaida kukuta either mtu ana kidumu cha mafuta au ghafla gari imeishiwa mafuta Barbarani. Kimsingi kila aina ya gari au chombo cha moto kina reserve kiasi cha mafuta kama taarifa kwa anae tumia hicho chombo ili achukue tahadhari. Pikipi zote zina reserve ya...
  7. akohi

    Natafuta machine ya kusaga karanga inayotumia umeme

    Naomba mwenye ufahamu anisaidie. Nahitaji kubwa na imara 0784197727 SMS, whatsapp au piga
  8. akohi

    Kigamboni Ferry

    Kwanza nitoe pongezi kwa ujenzi wa banda la kukatia ticket kule upande wa Magogoni maana kimsingi ilikuwa changamoto sana na ili ukate ticket lazima awepo mtu wa kukusaidia kupokea hela na kumpa cashier then ndo Cashier akate ticket ampe askari ili askari akupe hiyo ticket. Nashauri banda au...
  9. akohi

    Nahitaji mashine ya kukatakata majani/nyasi kwa ajiri ya chakula cha ngo'mbe

    Mwenye kufahamu wapi ntapata anisaidie 0784800989
  10. akohi

    Car4Sale Nauza Nissan Patrol 5,000,000/-

    Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine. Inaweza kufaa kwa:- 1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii 2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi ya vifaa vyake vimechoka basi unaitumia vifaa vya hii kufufua hiyo mbovu. 3. Kuuza spare zake 4...
  11. akohi

    Vinahitajika haraka

    Salama Wakuu, Nahitaji haraka vifuatavyo:- 1. Mota ya mashine ya kusaga Hp kati ya 30, 40 au 50 2. Mizani Digital na wa mawe ya kilo 300 3. Mashine ya kushonea maguni/viroba Vyaweza kwa vimetumika kidogo au vipya pia. Nipo Dar. SMS au Piga: 0784800989
  12. akohi

    Nauza Kiwanja 15,000,000 kiko Kishiri, Igoma Mwanza

    Kimeisha zungukwa na makazi. Umeme na maji vipo jirani. Ukubwa 40m x 50m sms au piga 0784800989
  13. akohi

    Nauza kiwanja, Kigamboni Geza ulole

    Salama wakuu, nauza kiwanja kwa 15m, Kiko kigamboni Geza ulole kimepakana na mradi wa viwanja, ni takriban au zaidi ya robo heka, hakijapimwa. 0784800989 sms, piga au whatsapp
  14. akohi

    Je unasumbuliwa na Google Play store?

    Salama wakuu? Tumi hii Uptodown Software Downloads - Download, discover, share Inakupa option mbili: - kuinstall hiyo app - kudownload direct kutoka kwenye browser bila kuinstall Kazi kwako
  15. akohi

    Anahitajika haraka: Sales Supervisor

    .Awe tayari kutumia pikipiki. .Awe anajua Ku drive na mwenye leseni. .Awe amehitimu diploma ya biashara au inayofanana na hiyo. .Ajue kutumia komputa. .Umri usizidi 30yrs old Mwenye uzoefu wa kumanage sales reps zaidi ya 10 na van zao. .Awe na uzoefu na maduka ya reja raja na hasa CFMG/FMCG...
  16. akohi

    retail distribution supervisor

    sifa zifuatazo: .aweze kuendesha Gari na bike na leseni .awe anajua soko lote la DSM kwa FMCG .awe anaweza kujieleza kwa kimombo .awe anauwezo wa kuongozi watu zaidi ya 20, magari zaidi ya 10 na petty cash .ajue kutumia computer .budget 1.1m plus .mwepesi kujifunza na Ku addapt changamoto .awe...
  17. akohi

    Ramani ya mitaa ya Dar es Salaam

    Salaam wadau: msaada nahitaji ramani ya dar inayoonyesha mitaa, any help? Size tofauti from A4 to A0. Asanteni
  18. akohi

    Fortuner inauzwa 38m

    Ya mwaka 2006 125000km 2.7Ltr Call, sms whatsapp ‎+255 779 951 319
  19. akohi

    Ni kweli kuwa mataifa makubwa yana sera ya kuangamiza vitaifa masikin?

    Wadau salaams. Naomba.msaada maana kwenye media tunaambiwa ni kampeni ya wakubwa kuangamiza third world countries. Kupitia chakula, madawa ikiwezekana na vita pia. Juzi pia nilikuwa naangalia Press TV nikaogopa kusikia hata ukimwi na ebora ni man made viruses Asanteni, Alfred Kohi FOUNDER...
  20. akohi

    Land rover mobile phone

    Salaams! Natafuta hiyo simu maana nimesikia inadum muda wa mwezi mzima kwa full charge moja. solutions@oric.co.tz 0764800989
Back
Top Bottom