Mahindi yanahitajika haraka kwa ajili ya kiwanda cha sembe

Mahindi yanahitajika haraka kwa ajili ya kiwanda cha sembe

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Salama humu.

Anahitajika business partner mwenye uwezo wa ku supply tani 30 za mahindi kila baada ya wiki mbili. Yawe mahindi yanayofaa kwa kukobolewa/sembe

Kiwanda cha sembe kiko Kigamboni na kina uwezo wa kukoboa na kusaga tani 10 kwa siku.

Ongezeko la wateja limezidi uwezo wetu na inatulazimu kutafuta wabia.

Baadae tutahitaji supplier wa aina zote za nafaka kwa wingi.

Wasiliana na Alfred 0764800989 kwa maelezo zaidi

Ramadan njema.
 
Manzese ukienda pale sidhani kama utakosa wahusika
 
Back
Top Bottom