akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 788
- 526
Wadau salama?
Naona sasa imekuwa kawaida kukuta either mtu ana kidumu cha mafuta au ghafla gari imeishiwa mafuta Barbarani.
Kimsingi kila aina ya gari au chombo cha moto kina reserve kiasi cha mafuta kama taarifa kwa anae tumia hicho chombo ili achukue tahadhari.
Pikipi zote zina reserve ya Lita moja na ikibaki hiyo moja lazima pikipiki yako izime kwanza then ndo uweke nob ya kuruhusu mafuta kwenye reserve halafu uwashe ili uendelee kutumia.
Gari zote zina reserve ya Lita kumi na hii ni international std na ndo maana taa ya mafuta ikiwaka tu basi ujue umebakiza lita kumi.
Sasa hapa ndo inabidi munielewe kwa umakini.
Taa ya mafuta ikiwaka unatakiwa u reset odometer yako ile ya Trip A au Trip B, kurudi zero ili kwamba ikifikia uwe unajua umetembea umbali gani kabla ya kuongeza mafuta.
Ulaji wa mafuta hutegemeana na aina ya engine, gari, umri wake, hali ya hewa, aina ya Barabara, mzigo n.k n.k ila std car hutumia kati ya wastani wa 1ltr kwa 7 to 10kms. Sasa sisi tuchukulie ile ndo ya 7km hivyo basi hutatakiwa kuzidi 70 kilometers kabla ya kuongeza mafuta kuanzia muda taa ya mafuta imewaka.
Kwa hapa swala la msingi ni kukumbuka kureset odometer kurudi zero Mara tu taa imewaka.
Hizo 70km ni Kwa viwango vya kidunia na ndo maana ukiwa high way utakuta walau kila 70km au 100kms kuna kituo cha mafuta.
Kusubiri mpaka taa ya mafuta iwake au yaishe kabisa Ina madhara makubwa kutokana mfumo wa gari yako kutegemeana na aina.
Ndani ya tank la mafuta ktk gari za kisasa kuna fuel pump ambavyo inatumia umeme na ndo maana gari za zamani zilikiwa zikiishiwa mafuta lazima utoe upepo kwenye injector pump lakin siku hizi mfumo wote ni umeme. So mafuta yanaisaidia pump kupoa na ndo maana yakiisha fuel pump inapata moto na matokeo yake inaungua.
Take care of selves and your cars/trucks and goodluck.
Samahani kwa uandishi wangu.
alfredmkohiatgmaildotcom