Salama Wakuu,
Nahitaji haraka vifuatavyo:-
1. Mota ya mashine ya kusaga Hp kati ya 30, 40 au 50
2. Mizani Digital na wa mawe ya kilo 300
3. Mashine ya kushonea maguni/viroba
Vyaweza kwa vimetumika kidogo au vipya pia.
Nipo Dar.
SMS au Piga: 0784800989