Search results

  1. Anna pita

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa? Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv. Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumbani, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingizi ushakupitia tena...
  2. Anna pita

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo. Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa. Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm, Tendo la ndoa...
  3. Anna pita

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa. Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3 mpaka leo hollaaa, mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwezi umeisha. Nipo group la...
  4. Anna pita

    Wiki mbili naumwa homa kali sana

    Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi. Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka, nguvu Sina. Nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza. Ni mjamzito...
  5. Anna pita

    Nini husababisha mume kumchukia mkewe Kipindi cha Ujauzito?

    Watalaam nisaidieni hapa hivi huwa kinatokea nini mwanamme mkuchukia mkewe kipindi cha ujauzito? Yaani hii imekaaje kitalaam. Unakuta walikua wanaishi vizuri tu before ila baada kupata ujauzito tu mume hana shida na mke yani Kuna kesi hapa mume kasafiri kikazi wiki nzima hata kupiga simu...
  6. Anna pita

    Wanaume hii kitu ni sawa?

    Hi kitu imekaaje? Mwanaume miaka 37 ameoa na anafamilia kua na urafiki na kijana wa miaka 25. Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako wote ikifika jion jamaa akitoka kazini kijana anaenda nae kwake wanakaa mpaka saa 4 usiku kijana anaondoka. Kama jamaa haendi kazini basi rafiki kijana...
  7. Anna pita

    Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi in short alinikwaza. Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani. Du! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana...
  8. Anna pita

    Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

    natumain mko wazima Mi Anna pita leo nimewamic nimeamua ni share na nyie jambo moja la msingi kwenye ndoa Ewe mme usitumie nguvu nyingi Sana kumuazibu au kumgombeza mkeo anapokosea njia nzuri kaa kimya Mfano mkeo kachit hakikisha amejua kua umefaham ikibidi Kama unakifua mfumanie kabisa alafu...
  9. Anna pita

    Single mama njoon tuongee kudogo

    Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume Single mama tukijiweka vizuri tunanafasi kubwa Sana ya kuolewa siku hizi....wanaume wengi Sasa hv wamekua wavivu na...
  10. Anna pita

    Mume wangu anaishi maisha ya hali duni huku pesa yote akisaidia ndugu. Nimkomboe au niwe kama sijui kitu

    Masiku yamepita Sasa tangu niishi kihalali na huyu baba Kama mke na mume. Nimekuja kugundua inawezekana kafungwa na mama yake mzazi. Iko hivi huyu jamaa angu/ mume ana cheo kikubwa tu kazini na mishahara mikubwa anafanya kazi TANESCO anapokea M na kitu uko Bado nyumba wanalipiwa Bado over time...
  11. Anna pita

    KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA

    KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SSC MC -Mwinyi Zahera DJ-Masau Bwire VINYWAJI-Azam KUNI-Mbao fc KUOSHA VYOMBO NA KUPIKA CHAKULA-Yanga MUZIKI-Mtibwa na Mbeya city ULINZI - Prisons na JKT Tanzania MAPOKEZI YA WAGENI RASMI- Ruvu shooting na African Lyon KUFANYA USAFI WA UKUMBI-...
  12. Anna pita

    Ushauri kwa mabinti

    Natumai mko POA Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa 1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona...
  13. Anna pita

    Nifanye nini mume wangu abadilike?

    Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu ...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo... Lkn kuweka...
  14. Anna pita

    Nifanye nini mume wangu abadilike?

    Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu ...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo... Lkn kuweka...
  15. Anna pita

    Kwa wanaume walio oa tu

    Kwa wanaume mlio oa, Nina kaswali kadogo tu Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani? Au Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda...
  16. Anna pita

    Naombeni mawazo yenu kwa wenye uzoefu na hili

    Naomben mawazo yenu naona mume kidogo akili zimeanza kumkaaa sawa maana yeye alikua hawazi chochote juu ya maendeleo yangu na yeye zaidi ya kuwaza kwao tu... Juz kaja na wazo kwamba achukue mkopo 20m tujenge nyumba ya kuishi na aniongezee mtaji katika biashara yangu kama itabaki kidogo basi...
  17. Anna pita

    Naitaji watu wenye uelewa mpana na busara wanishauri juu ya huyu mchumba wangu

    Juz nilileta Uzi wangu wa nimelikoroga ...nimeamua nifanye maamuzi magum kuna vitu kadhaa najiuliza sana Naomba nitoe historian yangu fupi ili kidogo mjue tunaanzia wapi kulimaliza hili Naomben watu kidogo wenye uelewa mpana na hapa naeleza ukweli wa maisha yangu acha hizo story/ nyuzi za nyuma...
  18. Anna pita

    Nimelikoroga naombeni msaada; Nimeingilia mawasiliano ya mpenzi wangu

    Nimelikoroga nisaidieni jinsi ya kulinywa ninampenzi wangu alipata uhamisho alipokua anafanya kazi gafla kuna dada alikua anafanya nae kazi yakaibuka mazoea mawasiliano ya mara kwa mara si asubuhi, mchana , jioni mpaka usiku. Nilipohoji nikaambiwa hii nikutokana tulikua tumezoeana kukaa wote...
Back
Top Bottom