Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
430
Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa.

Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3 mpaka leo hollaaa, mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwezi umeisha. Nipo group la wanandoa uko wanalia hawaguswi.

Mna matatizo gani? Njooni tujadili hapa

1644052930779.png

​
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Mwezi mzima hakugusi umejaribu kumuuliza ana tatizo gani?ama swali ulilouliza linawahusu zaidi wanaume wa JF kuliko mume wako ambaye hakupi?

Ama ndio uko kwenye ile aina ya ndoa ya ukimwaga mboga namwaga ugali?
 
Shost...maisha yamekua magumu nowdays...
Stress ni nyingi sana...tunapitia...
So perhaps father house yuko na stress esp kifedha..kazi etc
...na zile mambo zinataka mood.sio kufanya tu ilimaradi
 
Back
Top Bottom