Search results

  1. A

    Mwajuma ndalandefu na pangaboi

    Rafiki yangu Porokondo wikiendi hii amenihadithia kisa kilichomkumba miaka mitatu iliyopita nami nikaona ni vyema niwawekee hapa. Porokondo ni kijana mtanashati na japo sasa umri umesogea kidogo lakini bado uchekibobu wake wa miaka ile ya balehe haujamtoka kabisa. Sikuwahi kumuona tangu...
  2. A

    Bodi ya mikopo (heslb) na makato ya asilimia nane (8) ya mishahara

    Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and remit the same to the Board in the manner as the Board shall describe". Natumaini marekebisho haya...
  3. A

    Bodi ya mikopo na makato ya asilimia nane (8) ya mshahara

    Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and remit the same to the Board in the manner as the Board shall describe". Natumaini marekebisho haya...
  4. A

    Kikombe cha babu

    Malenga nawasalimu, Kwa jina lake Rabuka Nimeona nijihimu, japokua kushakucha Kwa hili jambo adimu,linalotusuka suka Kikombe, kikombe gani, Malenga nielezeni Kikombe, kikombe gani, atoacho Mwasapile Ni nini kilicho ndani, naombeni nifunzile Nambieni kwa undani,nende zangu na dumule Kikombe...
  5. A

    Most Annoying Things To Do In An Elevator

    When there's only one other person in the elvator, tap them on the shoulder and then pretend it wasn't you. Push the buttons and pretend they give you a shock. Smile, and go back for more. Ask if you can push the button for other people, but push the wrong ones. Call the Psychic Hotline...
  6. A

    Kashata Ya Bububu

    Karatasi nakamata,kueleza yalosibu Nna kipande cha kashata,nlichonunua Bububu Kashata yenye utata,utamuwe wasulubu Nimeziona kashata,ya bububu ni pekee Kitaka kula najing'ata,kwa utamu so kifani Nikimung'unya nadata,Sijui sababu gani Tamu zaidi ya bata,Alopakwa Asumini Nimemung'unya...
  7. A

    How To Spell

    Just be sure your chest is okay before you go over this. I almost broke my ribs!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I guarantee you that u will read it twice or thrice ... HOWEVER INTELLIGENT YOU COULD BE, YOU WILL READ THE ARTICLE MORE THAN ONCE TO GET THE HANG OF IT NO SPEAKAH DE ENGLISH A bus...
  8. A

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Wadau poleni sana na "Joto la Balali" linaloendelea humu ndani. Kwa wadau wa muziki wa kizazi kipya hebu nitoeni tongo tongo kuhusu Hili suala la Bongo flava na Hip Hop Wazee ya! wa Hip hop kama Nako 2 Nako,Geez Mabovu,Mapacha,Adili,BLac na wengine wengi wamekua wakisimamia kuwa Hip Hop ni Hip...
  9. A

    Is Bakari Kitwana a Tanzanian?

    Members hasa kwenye masuala ya Enternteinment nina swali? Hivi Bakari Kitwana aliyeandika "Why white Kids Love Hip Hop" ni wa kwetu? Kama kuna mwenye details zake animwagie
Back
Top Bottom