Search results

  1. J

    Maandamano kesho ofisi ya taifa ya takwimu - NBS

    Wana jamvi, Wafanyakazi wa muda walokuwa wakiingiza data kwenye kituo cha data processing (Kilichopo Tanita - Kibaha) kwa ajili ya data za sensa ya watu na makazi ilofanyika Mwezi Agosti mwaka huu wamekusudia kuandamana kesho kwenda makao makuu ya ofisi ya taifa ya takwimu -NBS zilizopo kivukoni...
  2. J

    Ripoti ya sensa ya kilimo na mifugo yatoka

    Hatimae Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa ripoti ya Sensa ya kilimo na mifugo (gonga hapa), Kwa muda mrefu sasa ofisi hii imekuwa katika malumbano makubwa na vyombo vya habari kuhusiana na sensa ya kilimo na mifugo kwa kile ambacho kimekuwa kikionekana kama ufujaji wa fedha ambao ulifanywa...
  3. J

    Aliyekuwa afisa habari ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) ahamishwa mara moja

    Katika hali ya kuonyesha kuwa Afisa Habari wake amekuwa mwiba, Ofisi ya Taifa ya Taifa ya Takwimu ambayo inategemea Agosti 26 mwaka huu kufanya zoezi la Sensa ya watu na makazi nchi nzima limemuhamisha mara moja (WITH IMMEDIATE EFFECT) Afisa Habari wake Bi. Dorina Makaya na kumuhamishia Hazina...
  4. J

    Kombati za CDM

    KAMA NTAKUBOA PSE LEAVE ME ALONE... Waungwana tafadhali mnielekeze wapi naweza kununua Kombati za CDM kwa hapa Dsm?
  5. J

    Wakati mwingine mwl alikuwa na maneno magumu sana!!!!

    Ndugu yangu wakikusikia! Shauri yako. Kitabu hicho nakitafuta sana.
  6. J

    Elimu ya kova inanipa utata

    Jamani kwa skendo ile hata kama ni mimi ndiye JM nisingekaa kimya. Ukweli Kova na vijana wake wamechemsha. na wanaenda kuyakanyaga matapishi ya Zombe muda si mrefu. Jamaa anamisifa sana Kova. Na Kova asijidanganye kuwa hatumjui. Tunajua sana skendo zake za kuwachomekea watu kesi hasa waandishi...
  7. J

    Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

    Pape, Ndugu yangu kwanza pole sana. Pili nakusihi sana usitumie madawa wala kilevi cha aina yoyote kama ulikuwa hutumii. Kitaalamu hilo la kuwahi 'kumwaga' na kama baada ya hapo utaendelea hata kama utapumzika dakika 40 basi hilo si tatizo sana. Nakupa ushauri huu, kwani binafsi ilishanitokea...
  8. J

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    hata ifm wayahudi walijenga. na majengo ya wayahudi yako imara sana
  9. J

    Rage kugombea nafasi ya Dalali Simba

    M-bongo, Naamini Meya ameimarisha huduma ya chakula zaidi kwa sasa hasa akizingatia kuwa anakaribia kuingia kwenye muongo mwingine na hata biashara zake zinahitaji kuwa za kisasa zaidi. Bwana Rage sina ukaribu nae sana. Nilishawahi kufanya kazi nae hapo Tabora akiwa kama Mwenyekiti wangu...
  10. J

    Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

    Mr. Zero hizi taarifa umezisikia wapi? Binafsi tangu mwaka jana nimewaandikia hawa jamaa nilipe mkopo hadi leo hawajawahi kuniletea statement niliyowaomba. Kiekweli data hawajazioganaizi vema.
  11. J

    Unlimited high peed internet

    Tatizo ni LUGHA YA BIASHARA! Katika miaka ya hivi karibuni tangu watanzania wajifunze lugha za 'kibishara' kila kitu kimeharibika! Sio kwenye mashirika ya umma wala binafsi! Hebu angalia kwa ufupi magazeti yetu yanavyotumia lugha za biashara! Unakuta bonge la kichwa cha habari kwa lugha ya...
  12. J

    Wanafunzi UDSM kuishtaki serikali. Wataka kiswahili kiwe lugha ya kufundishia.

    By the way ki-English ni kitamu! The language is so sweet!
  13. J

    Mzumbe yasafisha PhD feki; Kamala na Nchimbi wajifua upya

    Masaki, Ili chuo au Taasisi za elimu aidha ya juu au vinginevyo kuwa accredited na chombo husika huwa kuna taratibu za kupitia hadi hicho chuo au Taasisi iwe accredited. Kuna mambo mengi yanaangaliwa. Kwa mfano idadi ya wafanyakazi nikimaanisha waalimu pamoja na sifa zao kielimu. Majengo...
  14. J

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Kati ya habari ambazo zimenifungia wiki hii vibaya ni hizi za mparaganyiko ndani ya CHADEMA. Sikuwahi kuzifikiria. Niko kwenye maombi yasifikie pabaya zaidi ya hapa walipo. Kama naiona NCCR Mageuzi ya 1997 ilivoanza kumeguka! Naikumbuka vizuri timu nzima ya NCCR Mageuzi ilipotua Magu - Mwanza...
  15. J

    kila Man U wakifungwa ni kosa la refa?

    Sio kweli Ferguson analalamika pale tu man utd inapokuwa imeshindwa. Wenzetu wanautaratibu wa ku-evaluate match ilivyokuwa kila baada ya match. Kocha anakila sababu ya kusema kile alichokiona. Kwenye carling cup Manchester Utd walishinda, lakini Ferguson alimshukia vibaya refaree kwa kumuonyesha...
  16. J

    JF ..Msaada wenu mkubwa kimawazo unahitajika....

    Ama kweli akili ni nywele.................. Sikuwahi kufikiria mtu anaweza kutoa ushauri wa namna hii
  17. J

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    Watanzania lazima tukubali kuwa sera ya kukosolewa imo ndani ya chama cha Mapinduzi. Kwa kumbukumbu zangu Mwl alisema kitu kama hicho ndani ya sera za chama cha mapinduzi na mara zote nafikiri chama cha mapinduzi kimekuwa kikifuata sera hii. Lazima tukubali Rais wetu amefuata sera hii. Zitto ni...
  18. J

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    BRAVO BROTHER ZITTO Si mara zote binadamu wanakubali ukweli wa mambo. Brother nakupa bravo kwa ushauri wako wa last week kuhusu mgao wa umeme. Kila la heri ktk masomo. Watanzania naamini wanahitaji mawazo yako kwa nyakati zote.
  19. J

    Baruti za wahindi ni kero

    Hellow great thinkers, Juzi, na jana kumekuwa kukivurumishwa baruti na wahindi kwa kiwango kisicho cha kawaida. Enzi za Kamanda Tibaigana hawa jamaa walipewa saa moja tu kuvurumisha hayo mafataki yao. Cha ajabu mwaka huu sijui wamempa nini Kamanda Kova! Juzi kwa mfano walianza mida ya saa kumi...
  20. J

    Nini Cha kujifunza toka kwenye Picha hii?

    waziri mkuu yupo na ndo mtendaji wa serikali. kama hatimizi majukumu yake nafikiri tusimtwishe mzigo rais
Back
Top Bottom