Search results

  1. G

    Shirika jipya la ndege kuanza tanzania

    Jamani mnifumbue masikio jana nimesikia kwa mbali kuwa tanzania kuna shirika jingine la ndege litaanza safari zake kwa kutumia ndege kubwa za air bus nimekuta kipindi ndio kinaisha sikuelewa vizuri aliye na habari atujuze
  2. G

    Panther-Save up to 30 per cent on your car fuel costs

    Kuwa mtu unayeweza kueleza vizuri watu waelewe unachokisema watu wanahitaji ila hawajui we unafikiri dola mia mchezo?
  3. G

    Panther (fuel saving up to 50%)

    Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa zaidi atujuze!
  4. G

    Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Jaribu kwa hawa jamaa wa farm friends tanzania ltd wako mkoa wa tanga wanashirikiana sana na kampuni ya maziwa tanga iitwayo tanga fresh ltd pamoja na tanga dairies cooperative union (tdcu) namba yao ya simu 027 2646919 ukimpata mtu anaitwa rashid mohamed nadhani utapata ushauri mzuri
  5. G

    Kabila linaloongoza kuchapia kiswahiri hili hapa!

    Ni Wakurya na wewe usichapie!
  6. G

    Hivi mafia iko zanzibar au tanzania bara?

    Hapa mkuu nina wasiwasi umechemka Kagunguli ni kisiwa kweli? Umeacha Kunene, Bwiro, Kamasi na vinginevyo!
  7. G

    Jimbo la musoma mjini ccm watalipat tena?

    Jimbo lilikuwa mikononi mwa CCM kupitia mbunge Mathayo, katika uchaguzi uliopita likachukuliwa na CHADEMA swali ni je CCM wafanyeje ili kulinusuru hili jimbo? Taratibu wanajamii
  8. G

    Jimbo la musoma mjini ccm watalipat tena?

    Wanasiasa tupeane taarifa kuhusu mtazamo wenu na jimbo hili!
  9. G

    Deal ya kutengeneza Business Cards

    Wasiliana na mtu anaitwa Daniel Manimba naamini kazi yake utaipenda 0713660067 au 0784660067
  10. G

    Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

    Hapa nina wasiwasi anieleze umbali uliopo toka Bugoji hadi Suguti na aseme idadi ya wakazi walioko katika kijiji cha Saragana.
  11. G

    Maziwa ya pakti

    Hawa jamaa wa Tanga Fresh wako makini tena wako very open na mfumo wao wa kupokea na kusindika maziwa tumetembelea pale mara kadhaa na wanakaribisha watu kiwandani kuona na kutembelea mfumo mzima wa usindikaji.
  12. G

    Re: Light duty construction equipments - Kutoka Japan

    sio maswala mbona hata lugha yetu pia bado ni shida? !
  13. G

    changamkia hii... how to make money online for free

    Hili jamvi lina watu wenye akili timamu na ufahamu usidhani ni mahali unaweza kuleta issues zako za utapeli na watu wakakuvumilia! Ebu kuwa mstaarabu! Au isije kuwa wewe umeshatapeliwa tayari unatafuta wa kukusaidia! Sawa...
  14. G

    PrecisionAir waanza kujiharibia jina

    Jamani hawa watu kama wameanza kuharibu waambiwe tu, hili shirika lilkuwa la kutegemewa sana hapa Tz lakini kama mipango imeanza kuwa hivi inaogopesha sasa kama huyu ndugu yangu aliyekoseshwa International Flight si ni kipigo balaa! Ila mambo kama haya hata kwa wenzetu yanatokea japo wao wana...
  15. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wana jamii naomba msaada kwa wale wanaofuga kuku wa kisasa (broilers) mie kumbukumbu zao zinanipa shida japo faida napata lakini nashindwa kutenganisha hesabu za kila batch kwa kuwa ukianza na vifaranga wiki ya kwanza baada ya wiki mbili nachukua wengine tena na baada ya hapo kuku wa batch ya...
  16. G

    Mteja wa maziwa fresh anahitajika kuanzia Lt 10-50

    ungetueleza na ubora wa hayo maziwa sio useme tu lita arobaini tunapaswa tujue ubora wake!
  17. G

    Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

    Nyumbani Hotel ni nzuri tena iko katikati ya mji ni karibu sana na jengo la Posta kuu Tanga.
  18. G

    Upeanaji number za simu

    Sasa wewe namba umeomba mwenyewe na umepewa halafu sasa cha kuongea naye utuulize sisi jamvini si kuoneana huku?
Back
Top Bottom