Search results

  1. K

    Mwenyekiti wa CCM

    Kwa mojibu wa katiba ya CCM raisi wa nchi ndiyo mwenyekiti wa CCM taifa.Tuumize kichwa kidogo je! Ikitokea mh Magofuli akaukosa uraisi mwenyekiti atabakia yuleyule au atakuwa magofuli?
  2. K

    Tatizo la maji kwa maeneo ya Ubungo na Kimara

    Tatizo la maji kwa maeneo haya na mengine kwa jimbo la ubungo tatizo ni siasa/jimbo la upunzani au nini? Nizaidi ya miaka 2 sasa tunakaa mpaka miezi miwili bila ya maji. Waziri husika ofisi zako zipo Ubongo unalifahamu hilo? Mh mbunge John Mnyika mbona huitishi maandamano kuelekea kwa waziri wa...
  3. K

    Mboni Show hongera

    Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi na CBE big up mmenikumbushia enzi za uchezaji wenu mkiwa na akina Mwameja, anko Tom, Athuman...
  4. K

    Historia ya kweli ya Tanzania

    Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
  5. K

    Kwako 'kamanda mpambanaji' Nape Nnauye kuhusu 'Kupambana na mafisadi ndani ya CCM'

    Mh tulikuona ukizunguka sana hapa na pale ukiongelea kuhusu kupambana na maasifadi ukaja na TRACK yako nzuri sana na iliyo vuma sana tuu yakuwa nilazima kuvua magamba ndani ya CCM ilikurudisha hadhi ya chama je mpaka leo ni akina nani waliojivua gamba au kuwavua gamba? au ilikuwa kelele za...
  6. K

    kwanini mkuu wetu wa jeshi la polisi Said Mwema asijiuzulu?

    matukio mengi sana yanajitokeza ,ujambazi,viongozi wa dini kuuwawa kama padri Mushi na juzikati tuu tulisikia padri aliye nusurika katika tukio la kuuwawa kwa kupigwa risasi huko Zanzibari kutekwa kwa baadhi ya watu kama akina Dokta Ulimboka na wengineo kuuwawa kwa waandishi wa habari kama...
  7. K

    kwanini mkuu wetu wa jeshi la polisi Said Mwema asijiuzulu?

    matukio mengi sana yanajitokeza ,ujambazi,viongozi wa dini kuuwawa kama padri Mushi na juzikati tuu tulisikia padri aliye nusurika katika tukio la kuuwawa kwa kupigwa risasi huko Zanzibari kutekwa kwa baadhi ya watu kama akina Dokta Ulimboka na wengineo kuuwawa kwa waandishi wa habari kama...
  8. K

    Tanzania na Rasilimali zake na Watu wake je kunauwiano katika haya?

    Ni halali chakula cha mtoto akapewa mbwa? Au cha mbwa akapewa mtoto? Natumaini haiwezekani ila kwatulipo fikia ndiyo imekuwa hivyo.Nchi yetu imebahatika kuwa na rasilimali nyingi sana ila swala la kujiuliza je zimetusaidia? Na kama zimetusaidia ni kwakiwango gani? Tuna madini kila kona...
  9. K

    Kwenda kwa wabunge Chadema/watetezi wa wapiga kura.

    Wabunge wa Chadema tunawaomba mtukumbuke kwa hili.Mimi kama mimi nimefuatilia bunge kwa kiasi fulani ila sijawahi kumsikia mbunge aliye wasilisha hoja binafsi kuhusu mishahara kwa wafanya kazi ,mishahara tunayo pewa ni midogo mno na kila siku kodi za nyumba zinapanda vyakula vinapanda umeme...
  10. K

    Hujuma dhidi ya Mnyika katika jimbo la Ubungo hazita fanikiwa

    Hivi hawa Dawasco kutufungulia maji usiku wa saa sita wanamanisha nini?kama si kuwaumiza na kuwanyima maji wana ubungo?kama mna maji ya kufungua usiku kwanini msiyafungue mchana?mtu ananda kazini wiki mzima tena anatoka nyumbani saa kumi na moja moja kwajili ya kuwahi foleni na jioni anakaa...
  11. K

    Kauli mbili ninazozikumbuka kabla ya kuingia katika mchakato wa Katiba Mpya

    Tambwe Hiza sisi CCM tupo madarakani na tumepewa madaraka kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza, wenzetu CDM wamekosa madaraka sababu walitaka/waliahidi wakipata madaraka ni lazima katiba mpya. Mh mbunge Lema watanzania tunataka katiba mpya iwe isiwe katiba mpya ni lazima. Hapa ni nani...
  12. K

    Je! Nikweli msanii ni kioo cha jamii?

    Tunaimani na tunaambiwa yakuwa msanii ni kioo cha jamii, je tunaelewa maaana ya huu msemo na nikweli wasanii wetu ni kioo cha jamii? Kioo huwa hakibadishi sura au uhalisia wa mtu/kitu,kioo huonyesha kilichopo mbele yake kiwe kizuri ama kibaya.kwa hiyo ni vizuri tukatafakari huu msemo...
  13. K

    Tunaowa na kuolewa na watu ambao tulisha kuwa na mahusiano nao kimapenzi.

    chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kutoheshimiana ni kwa sababu tulio waowa/olewa nao hatukutanishwa na upendo wakweli,bali tulikutanishwa na tamaa,kuzini,au kwa sababu ya kupata mtoto hivi ndivyo vilitupelekea kuoana.Ila nadhani kama tungekutanishwa na Agape love ndoa zingedumu na...
  14. K

    mikataba yote mipya na yazamani ipitiwe upya na Bunge.

    mikataba mipya na haswa ya madini,mafuta na geasi iridhiwe na Bunge na sii baraza la mawaziri.Pamoja na mikataba yote mibovu ipelekwe bungeni na kujadiliwa upya na kuwawajibisha wale wote wanaoliingizia Taifa hasara. Bunge kama bunge lipewe uhuru na hadhi yake.
  15. K

    Tunawakumbuka hawa wachezji? Ongezea waliosahalika

    Hii nimekutana nyo katika mitandao na ikanikumbusha mbali nikaonelea niilete humu. George Magere Masatu,Edibily Jonas Lunyamila,Husein Amani Masha,Nteze John (Lungu) ,Sanif Razaro Tingisha,Zamoyoni Mogela ,Wastara Baribari,Abeid Mziba,Mkama Ntare,Victor Nkanwa,Idd Pazi,Ramadhani...
  16. K

    Ni wachezaji gani waliokufanya ukaipenda/kuwa shabiki wa Simba?

    Enzi hizo nikiwa primary na wakumbuka hawa,wengine mwenye kuwajua aendeleze 1.Mohamedhi Mwameja 2.George magere Masatu 3.Deo Mkuki 4.Athumani China 5.Madaraka Suleimani. Mzee wa kiminyio! 6. 7. 8 Hiki kikosi nilikuwa nikikisia ndani Rtd nilikuwa nikifarijika sana
  17. K

    Tuipe CCM Tena 2015!!!

    Tuwape tena CCM 2015? Ila kabla ya kuwapa tujiulize wamefanya nini kwa miaka 50 tuliyowapa na tumefaidika kwa lipi? Je wenzetu tuliopata uhuru nao au baada ya sisi wako wapi?maana hawachelewi kusema barabara nzuri wamejenga mashule yasiyokuwa na walimu muindo mbinu vyuo vya kata ndege za...
  18. K

    Ni message gani ukiona ama kusikia inakufurahisha au kukuudhi pindi uionapo?

    1.Mateso yakizidi Neema inakaribia 2.Paka haishi kwa msela 3.Jogoo hafi kwa utitiri 4.kuku kuku tuu jogoo jina. Hii yote nafurahi pindi niionapo.
  19. K

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa. Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf...
  20. K

    Ushauri kwa wapendwa na wapendaji.

    Kutokana na kuvunjika kwa mahusiano ya watu mbalimbali nimeona niwasaidie baadhi ya watu .kuna tofauti sana kati ya kupenda na kupenda,waatalamu wa mahusiano wana shauri kabla ya kuingia ktk mahusiano kwanza chunguza wewe mwenyewe umependwa au umependa kama umependwa basi kubari na anza uhusiano...
Back
Top Bottom