Ushauri kwa wapendwa na wapendaji.

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Kutokana na kuvunjika kwa mahusiano ya watu mbalimbali nimeona niwasaidie baadhi ya watu .kuna tofauti sana kati ya kupenda na kupenda,waatalamu wa mahusiano wana shauri kabla ya kuingia ktk mahusiano kwanza chunguza wewe mwenyewe umependwa au umependa kama umependwa basi kubari na anza uhusiano kama umependa usianze mahusiano hivyo penda unapo pendwa na usipende unapo penda sababu kule unapo pendwa ndiko kwenye raha na kule unakopenda huenda hupendwi ukaanza kuumia na mapenzi huku ukikutana na maudhi ya kila mara kosa ni kupenda usiko pendwa. hivyo jilazimishe kupenda unako pendwa mwisho utazoea kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi.
 
wacha danganya watu wewe...u cnt fake emotions bwana....kama mtu humpendi kwanza ata stim nae huna na utakiwa waishi maisha ya maigizo tuu
 
huwezi kuwa mtu kwa sababu kakupenda.....

Inapaswa umkubali mtu ambaye amekupenda na wewe umempenda.....in short mmependana
 
sahihisha status yako kuna tofaut kubwa sana kati ya kupenda na kupenda. katika mapenzi lazima upande mmoja uanze kupenda upande wa pili ndipo lije kuzaliwa neno tunapendana.Mwanaume unaposubr kupendwa kabla ya kuanza kupenda ujue kabisa kuna possibility kubwa ya kutendwa.
 
Kutokana na kuvunjika kwa mahusiano ya watu mbalimbali nimeona niwasaidie baadhi ya watu .kuna tofauti sana kati ya kupenda na kupenda,waatalamu wa mahusiano wana shauri kabla ya kuingia ktk mahusiano kwanza chunguza wewe mwenyewe umependwa au umependa kama umependwa basi kubari na anza uhusiano kama umependa usianze mahusiano hivyo penda unapo pendwa na usipende unapo penda sababu kule unapo pendwa ndiko kwenye raha na kule unakopenda huenda hupendwi ukaanza kuumia na mapenzi huku ukikutana na maudhi ya kila mara kosa ni kupenda usiko pendwa. hivyo jilazimishe kupenda unako pendwa mwisho utazoea kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi.

i beg to differ please!
JIFUNZE KUJIPENDA KWANZA THEN UTATOA NA KUPOKEA UPENDO TU!
 
Hivi formula za mapenzi mnazipata wapi?
Gravitational is not responsible for people falling in love-Albert Einstein
 
Sometimes YES! Sometimes NO.

Japo mtu anakupenda lakini kama hujampenda ni vigumu kuwa nae.
 
Dynamics za mapenzi hakuna chombo kinachoweza kupima. Kuna watu walipenda wasikopendwa, wakatukanwa na kuitwa majina ya kila aina. Leo wanapendwa kama almasi, ni wewe tu na moyo wako. Wengine hawapendi kusumbuliwa, wengine wanapenda, total confusion. The only rule in love is that there are no rules.
 
Kutokana na kuvunjika kwa mahusiano ya watu mbalimbali nimeona niwasaidie baadhi ya watu .kuna tofauti sana kati ya kupenda na kupenda,waatalamu wa mahusiano wana shauri kabla ya kuingia ktk mahusiano kwanza chunguza wewe mwenyewe umependwa au umependa kama umependwa basi kubari na anza uhusiano kama umependa usianze mahusiano hivyo penda unapo pendwa na usipende unapo penda sababu kule unapo pendwa ndiko kwenye raha na kule unakopenda huenda hupendwi ukaanza kuumia na mapenzi huku ukikutana na maudhi ya kila mara kosa ni kupenda usiko pendwa. hivyo jilazimishe kupenda unako pendwa mwisho utazoea kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi.

its true...........vinginevyo masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Najiuliza ingekuwa formula ya mapenzi inatumika kutengeneza vinywaji mapenzi yangekuwa kinywaji gani? Soda, bia, gongo, mbege?
 
Back
Top Bottom