Search results

  1. X

    China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

    😄😄 Mwamba anapenda vita kama Marekani
  2. X

    China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

    Hii sasa kufuru Na hii ndio kampuni ileile ilipewa order na kampuni ya Ufarasa CMA CGM kutengeneza meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN Kwa hiyo jamaa order 2 tu wameingiza mtonyo wa karibu US$ 10 bln Kibongo bongo ni sawa ni Shilingi ngapi?
  3. X

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Wataje hao viongozi ambao video zao zilivujishwa
  4. X

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Ndio stori zao single moms wa jf mkuu
  5. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kabisa mkuu, na wengi huwa wanajutia ni vile tu wanakosa ujasiri wa kuswma mbele za watu kama Rihanna alivyofanya
  6. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kweli Unajua bora ujifunze kupitia makosa ya mwingine kuliko ujifunze kwa makosa yako binafsi huwa inaleta majuto sana
  7. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  8. X

    Wapenda kupamba miche ya miti Mwanza tujuane

    Umechanganya majina umenimention mimi Tuko wawili tofauti Xi Jinping Xi jiping
  9. X

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Nyinyi mlioolewa muendelee kuwaelekeza ambao hawajaolewa nini wafanya maana umri unasonga tu wanakuwa mishangazi wanaenda kwenye ubibi
Back
Top Bottom