Search results

  1. mabwana

    Wanawake kuweni na shukrani

    wanawake wengi wa kitanzania hawana ahsante sisemi wote lakini wengi unampa pesa bure 30 to 50 thousand bure akwambia hata ahsante nini hii, stupid thing in my life sema ahsante. wanataka ziada jamani kuweni na ahsante
  2. mabwana

    Mpishi anaitajika

    Natafuta mpishi så fast Food ,
  3. mabwana

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    natafuta nyumba ya kupanga kinondoni ,siza ,kijitonyama budget 250000 malipo ya miezi 6 mpaka mwaka nione private
  4. mabwana

    Nimekosa usafiri wa Dar kwenda Cape town

    habari zenu nimejaribu kutafuta usafiri wa ndega Dar to Cape town presionair hakuna na air Tanzania hakuna yoyote mwenye mawazo ?
  5. mabwana

    juice dispensar inaitajika

    nahitaji juice dispensar na double door showcase fridge nione msg
  6. mabwana

    Manchester united vs Chelsea

    machester united anatoka leo darajani
  7. mabwana

    manchester citty vs arsenal

    man city anatoka leo
  8. mabwana

    mzigo kutoka china

    habari ya leo kuna mtu anajua kampuni au china anaweza kuniletea mzigo wangu kutoka huko
  9. mabwana

    Kuhusu wanyama kupelekwa nje nchi

    tanzania kupeleka wanyama nje kimataifa ni sawa kabisa kuna zoo kote duniani wanyamama wanatoka wapi ?afrika kuwapa wanyama nchi awana wanyama sidhani ni kama ni makosa , nakumbuka mwalimu nyerere alipelaka wanyama cuba na sweden norway denmark. hawana mbuga za wanyama wana zoo . kwa hiyo twiga...
  10. mabwana

    kuhusu ngombe bei yake na mbuzi

    wana jamii nilikuwa nataka kufuga ngombe , nilikuwa napenda kujua bei yake pia na bei ya mbuzi
  11. mabwana

    Mnakumbuka Miaka ya 80

    Nakumbuka miaka ya themanini hakuna sabuni, hakuna mafuta ya taa, hakuna petrol kwa mgao, hakuna dawa ya meno , hakuna beer bar? Ukikamatwa na usd kesi kubwa sana , au sabuni ya kenya au dawa ya meno au sigara paket 3 Kipindi kimepata sasa hivi kila kitu kipo ni pesa yako tulikuwa nyuma sana...
  12. mabwana

    sony stereo, cd radio . amplifier . jbl speaker

    wakubwa stereo ya sony vipande vitatu amplfier , cd na radio pamoja na JBl speaker za 500w each bei ya maelewano laki 7
  13. mabwana

    cooler box 12 volt

    cooler box 12volt mpya kabisa unaweza kutumia kwenye gari au nyumbani bei maelewano tzs 150000
  14. mabwana

    Kwanini watu wanaamini uchawi

    mpwa wangu alikuwa na mkewe , dada yangu akamwambia lazima amuache vinginevyo ana lazi ya ya mama yake, tukamuliza kwanini akasema mkewe anamloga mwanawe, wewe umejuwaje mganga kanambia , ikabidii nishangae sana , ikabidii mjomba amuache mkewe ni mshirikina niisikitika sana mzazi kuingia ndoa...
  15. mabwana

    Restaurant inalipa kwa hali ya sasa?

    Wana jamii, Nilikuwa na vifaa vya restaurant, je kwa hali iliyokuwepo sasa kweli inaweza kulipa? Vifaa vya kisasa ninavyo, mawazo yenu.
  16. mabwana

    Natafuta showcase fridge double door na juice dispensary

    Natafuta showcase fridge door double budget laki 8 na juice dispensary ya vyumba vitatu mpaka 4 budget laki 8.
  17. mabwana

    Ujenzi ukisiliza watu ujengi

    Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m Ukitaka kujenga wacha kusikiliza watu awana cha kufanya zaidi ya kuvunja watu nguvu tafuteni kitu cha kufanya
  18. mabwana

    Mashine ya miwa

    PowerPoint 220 Ner Weight 58kg Power size 750w Out put 300kg/H Mashine size 480*420*935 Mashine ni mpya kabisa Bei 1,3m Nione 0715308117
  19. mabwana

    Display food warmer

    Food warmer aiyatumika Bei 1,7 m Nione kwa 0715308117
  20. mabwana

    Inkubator za mayai 176 na 198

    Automatic egg inkubator za mayain176 na 198 220 volt ni mpya Wasiliana na 0715308117 Inkubator 176 kwa 1 Inkubator 198 kwa 1,3
Back
Top Bottom