mabwana JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 307 Reaction score 316 Nov 22, 2017 #1 habari zenu nimejaribu kutafuta usafiri wa ndega Dar to Cape town presionair hakuna na air Tanzania hakuna yoyote mwenye mawazo ?
habari zenu nimejaribu kutafuta usafiri wa ndega Dar to Cape town presionair hakuna na air Tanzania hakuna yoyote mwenye mawazo ?
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,297 Reaction score 1,951 Nov 22, 2017 #2 SA itakuwepo
mabwana JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 307 Reaction score 316 Nov 22, 2017 Thread starter #3 Kweli tukonyuma san DAR to Cape town ni $545 , wakati Stockholm Dar ni $400 tutapanda ndege kweli jamani
Kweli tukonyuma san DAR to Cape town ni $545 , wakati Stockholm Dar ni $400 tutapanda ndege kweli jamani