Search results

  1. KirilOriginal

    SoC03 Maoni Kero toka kwa Tour Guides (Waongoza Watalii)

    Kinachoshindikana kwa guides kugoma ni nini ? Tuna tozo umiza kupitiliza... Kumbukeni kazi yetu sio Biashara ni hiduma kutangaza vivutio vyetu Tanzania , na tunaitwa Mabalozi ... na ndivyo tulivyo ila unaambiwa ulipe vitu wasivyolipishwa Mabalozi wetu wengine woote unao wajua ..: 1 guide...
  2. KirilOriginal

    Wazee wa kimeru kumwadhibu yeyote atakayevaa nguo yenye picha ama maandishi yanayomuenzi marehemu

    Nimewasikia viongozi wanaojiita wa kimila huko Meru kwamba, watamwadhibu yeyote atakaye vaa nguo yenye picha ama maandishi yanamuenzi marehemu na hawataki misafara ya magari kwenye misiba kwa sababu wanazozifahamu hao washili. Wanaofahamu sheria watusaidie hili jambo la kuchapa wananchi fimbo...
  3. KirilOriginal

    Tusaidieni juu ya hiki la hawa Polisi

    Polisi usa river arusha wanatusumbua
  4. KirilOriginal

    UKAWA, radio calls ni LAZIMA

    Radio calls muhimu
  5. KirilOriginal

    Usalama Arusha Airport!

    Usalama wa uhakika ni muhimu
  6. KirilOriginal

    Mbowe anaidai AIR TANZANIA 2bn

    Hawa Ghasia alileta ghasia kumshambulia Mbowe kwamba anadaiwa na LAPF. Ghasia fahamu kwamba ni seriali yako unayoitetea ambayo Mbowe anawadai 2bn kupitia Air Tanzania. Wamlipe kwanza Mbowe fedha zake.
  7. KirilOriginal

    Taarifa ya kamati # 4 ya lisu in mp3

    Salaam wakuu, Ni ombi la wengi kuipata taarifa ya Mh. Tundu Lisu ikiwa kwenye mp3 ili wengi tuweze kuipata na kuisambaza kwa umma wote. Ni ombi.
  8. KirilOriginal

    CCM Vipi? - Februari 9 2014 imekaribia

    Sioni dalili kwamba mnahangaika na hizi chaguzi za Madiwani, ama bado mnajirejeza baada ya JK kuwapiga makofi? Kinana uko wapi? CCM itakufia mikononi mwako na wewe hutabaki salama.
  9. KirilOriginal

    Ya Mabina ni hasira za tokomeza ujangili

    Wakuu, Wananchi wanadai kitendo ambacha watumishi wa serikali walikuwa wanawafanyia wananchi bila hatua kuchukuliwa ndicho kilichowasababisha kuchukua maamuzi ya kumwua Mabina.
  10. KirilOriginal

    CCM- Laana itawamaliza

    msitumie jeshi la polisi kunyamazisha wapinzani wenu
  11. KirilOriginal

    Uswis na ufisadi wasiguswe

    Tukumbuke tu kwamba JK aliwahi kutoa angalizo kwamba kama tukihangaika na kujaribu kumnyooshea mtu yeyote kidole kuhusu ufisadi EPA sijiu Kagoda etc etc nchi itayumba. Hawa watu wana nguvu kuanzia ndani hadi nje. Sasa ndg Zito alipokuwa anajinadi atawataja kwani hakurejea maneno ya swahiba...
  12. KirilOriginal

    Uchaguzi chadema siyo amri ya 11

    Uchaguzi ni baada ya 2015
  13. KirilOriginal

    Bravo Arusha town!

    Nimepita mji/jiji la Arusha leo, hali niliyoikuta ni tofauti kabisa nikilinganiisha na kipindi kirefu kilichopita. Mji ni safi, maeneo yale ambayo yalikuwa yamekidhiri kwa uchafu mfano masokoni ni pasafi, watu wanajituma kuhakikisha kila kitu kipo kimpangilio. Asanteni!
  14. KirilOriginal

    Airtel TZ ni matatizo sasa!

    JF, Zain inasumbua imekuwa ni vigumu kuongeza salio au kuwezesha mawasiliano mengineyo...
  15. KirilOriginal

    CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

    Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua, au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni...
  16. KirilOriginal

    Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

    JF Baada ya CHADEMA kuibwaga ccm nini hatma ya Meya wa Arusha? Baadhi ya watu wanahisi kwamba kutokana na fedha ambazo JK ameagiza Lyatonga apewe kama mafao ya unaibu waziri mkuu je yaweza kuwa chambo kwa diwani wake Arusha kuipa suport Ccm kwenye umeya?
  17. KirilOriginal

    Mwapamba, akufukuzaye hakuambii toka...

    Mtela fungua ubongo na uone kwamba siasa za ccm hutaziweza, hao ccm hawakutaki, wewe si unaelewa kwamba ulipewa kibarua cha kuisaliti CHADEMA ngoma ikabuma? ccm wanakuona mzigo. Mwigulu amekutega akakushindilia uongo kama alivyozoea na wewe kichwa kichwa ukauleta hadharani. Sasa Mwigulu...
  18. KirilOriginal

    Deodatus balile

    Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni hii mada ya Jicho letu ndani ya habari wk 21.
  19. KirilOriginal

    Star TV-Deodatus Balile

    Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni hii mada ya Jicho letu ndani ya habari wk 21.
Back
Top Bottom