CCM- Laana itawamaliza


KirilOriginal

KirilOriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2012
Messages
2,008
Likes
473
Points
180
KirilOriginal

KirilOriginal

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2012
2,008 473 180
Dhambi inaua, dhambi inaangamiza Taifa!

Haya yanayotokea sasa hivi bungeni yanatokana na kiburi, jeuri, dharau ya mawaziri.
Hawasikii malalamiko ya wananchi, na wanawaadhibu wananchi kwa hasira ya CHADEMA, sasa watu wamemlilia Mungu na Mungu anasulubu na bado...
 

Forum statistics

Threads 1,272,320
Members 489,918
Posts 30,447,331