Uswis na ufisadi wasiguswe

KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,148
2,000
Tukumbuke tu kwamba JK aliwahi kutoa angalizo kwamba kama tukihangaika na kujaribu kumnyooshea mtu yeyote kidole kuhusu ufisadi EPA sijiu Kagoda etc etc nchi itayumba.

Hawa watu wana nguvu kuanzia ndani hadi nje. Sasa ndg Zito alipokuwa anajinadi atawataja kwani hakurejea maneno ya swahiba wake?

Hakuna kitaakachoendelea Zito aseme tu anatafutaga pa kukamata masikio ya umma ambako umma wa kawaida utamwona yuko bize.
 

mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
Kwanza kuwa Zitto alisema anayo hiyo orodha na hajaitaja, tayari, issue yote ni ngonjera au mchezo wa kuigiza! Ndo mwisho hakuna kitakachoendelea!
 

K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,638
2,000
Zitto msanii tu, bado kuanzisha bendi yake!....Ooooh, ninayo majina ya walioficha fedha uswis na ninawapa serikali hadi kipindi fulani vinginevyo ntawataja! Leo kaja ni single ingine.....ooh, kuwataja majina kama watu wengine wanavyotaka haina maana....! Eti "icon".....halafu huku ana anandimi mbili!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom