Search results

  1. M

    Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Duuuu wakenya wasipoingia kununua Mahindi yatashukuka zaidi na hizi mvua
  2. M

    Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Typing error kg 1 kwa 1000
  3. M

    Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka

    Kwa umbali huo sjui japo naamin kama unagunia nyingi haizidi sh 10000 kwa gunia
  4. M

    Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Nimefurahishwa kwa aina utanganzaji ulio fanya ,mm mwenyewe Nina gunia 100 Nipo HANDENI Tanga ,kwaambao wanachukua yote ninaweza kuwalea kwa kg sh 100 Mawasiliano 0620747396
  5. M

    Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka

    Nimaelewano Mfano hku kwetu HANDENI to Dar tandamu m 1.3 wakat single lake 7 Hadi 8
  6. M

    Bei ya mahindi yaporomoka ghafla, wakulima wapigwa butwaa

    Hv nikihifadhi Hadi December au January hayawez panda kabsa
  7. M

    Biashara ya nafaka

    Nipo handen Tanga
  8. M

    Bei ya mahindi yaporomoka ghafla, wakulima wapigwa butwaa

    Wadau kwajinsi mnaovyoona Mahindi yatapanda Bei tena kwel?
  9. M

    Biashara ya nafaka

    Jamani watalaamu WA soko la Mahindi vp naona yanashukan Bei vp kunakupanda bei tena
  10. M

    Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Wazo zuri naomba unisaidia hilo wazo
  11. M

    Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Kvp brow mbn tunatamanishana wakati tunafanyabiashara hata laki mbili hatupati kwa mwezi
  12. M

    Nimemsikiliza Godbless Lema katika The Big Ajenda Star TV, yupo vizuri kichwani kuwazidi wapinzani wote hapa Tanzania

    Kumbuka huyo nimpinzan kazi yake nikushauri au umesahau kuwa lema mala nyingi amewekwa ndani na mkuu wa mkoa kwakusema matatizo ya Arusha
  13. M

    Nimemsikiliza Godbless Lema katika The Big Ajenda Star TV, yupo vizuri kichwani kuwazidi wapinzani wote hapa Tanzania

    Kwaiyo wanalipwa mshaharamdogo kwasababu ya wingi wao siyo kazi wanayofanya non sense think twice
  14. M

    Ualimu ni kazi au ni wito?

    Ualimu nikazi ya kitume bila moyo huwezi ifanya Mana ukisema ujilinganishe na school mate wako ambao wote mpo elimu sawa Kuna big Gap . Jaman naombe ushauri wadau Mimi Nina bachelor of arts with education (Economics and Geography) ninataman kusoma masters ila nje ya education Ili ikiwezekana...
  15. M

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Sasa kama unataka afeli unampeleka shulen kufanya nn?
  16. M

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Sijapata ,sema nipo kwenye ajira ya ualimu nikiwa na TGTS D,sasa nilipoona tangazo TPA nineomba sasa nataka kujua hapa nilipo na nilipo omba wap panaunafu
  17. M

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Naomba mnisaidie wadau ety TPA wameandika salary scale ni TPGS 1A ,hivi ni sawa na sh ngap?
Back
Top Bottom