1. Kishikwambi cha msaada, vingi vimezimwa hamuna bando.
2. Hakuna safari wala posho.
3.Kusimamia mtihani posho ya elfu 40 wapo tayari kufanyiana figisu.
4. Kusahihisha mtihani posho haizidi laki 5 hapa sasa ni kizaizai nusu afe mtu.
5. Kwenye uchaguzi wanatumika kupinduapindua meza kwa ujira wa hela ya mboga siku 1.
6. Nyumba wanazokaa kwa waliobahatika hawajali hata nyufa zilizopo ili mradi wamo tu.
7. Mtaani ukimuona na maji ya Dasani ujue katoka kwenye kikao cha CWT.
8. Kadi ya benki miezi 9 iko kwa Tesha.
9. Anajenga kwa mkopo Platnum na ujenzi hauishi.
10. Akistaafu Tesha anachukua kwanza anabaki na kidogo atakazotumia kuinua mgongo ulioinama.
11. Kufa mapema sababu ya malalamiko kuanzia siku ameajiriwa hadi kustaafu
Swali, hii ni kazi ama wito wa kujitolea ? Hata mimi sielewi hata hivyo Walimu wanaridhika sana na hawataki mambo makubwa.