Search results

  1. mwaibile

    Wanawake ni kama Uyoga, leo Mboga kesho Sumu

    Mkuu mbona umeandika kwa haraka kama unaoga nnje alafu unalalaje mdaa huu asubui yote
  2. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo sending ndo inamaana gan
  3. mwaibile

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Huyu jamaa kapotea wap
  4. mwaibile

    NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    Vp tv mbovu ila flat naweza nikauza wap au wap soko lilipo imekufa kadi vyote vizima
  5. mwaibile

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Tunangoja mlejesho
  6. mwaibile

    Nani mwenye makosa?

    Ndo shida wanayo pitia single Mather huyu angekuwa anaishi na baba yake asingejibu upuuzi huu
  7. mwaibile

    Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Uzi mzuri sana kwa wambanaji way back kuna jamaa yangu mmoja alifungua saloon mtaani nimemwambia ifanye iwe simple maan bado ramani ya mchezo hujaujua bado jamaa akawa mbishi akaipiga tyris fresh kuanzia ndani ukutani kote mpaka nnje kote kilicho mkuta ni balaa biashala akachemka akaondoka...
  8. mwaibile

    Kiwanja kinauzwa kimara temboni

    Kipo mtaa gani maana bajaji za temboni zipo zinaenda kimtaa yan kwa makofia au mfugale na kazalika kwaiyo kipo mtaa gani
  9. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vp wapambanaji code bas tuluke nazo
  10. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ww choko jukwaa hili halikuusu kama code mtu akituma siyo lazima kufwata piga kimya nenda jukwaa lingine jukwaa hili la wanaume lijali siyo wanao kaa kwa shemeji
  11. mwaibile

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Ushaambiwa kunywa kwa kiasi shida ipo hapo kwenye kiasi
  12. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumekucha tusichoke kumsaka kanji code
  13. mwaibile

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Some time wake za watu wanazingua unakutana na mwanamke unajua kabisa huyu mke wa mtu ukimuuliza anakataa anakwambia haja olewa kikinuka baadae ndo anakuomba msamaha kwamba umsamee kwa kudanganya ila pia angalizo kama kijana kama bado hujajipata usioe mapema maana ndo utakuja kuanzisha uzi kila...
  14. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupia code zilizobakia tufuate
  15. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau leo vp tupieni code
  16. mwaibile

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kuna ngozi nyeupe nayo ilikuwepo kwenye kupanga mstari au ni black
  17. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh inasikitisha sana yan kanji atupige na pia cc kwa cc tupigane dah inasikitisha sana kwaushauli mkuu bakia kwenye kampuni unatuma pesa kwa kampuni direct siyo mambo ya kupitia kwa mtu huwa ni ujinga
  18. mwaibile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumekucha mkuu tupatie code kuluke nayo
  19. mwaibile

    Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Huyu jamaa kwenye marketing hayuko sawa bora iyo kazi angempa mtu awe anamfanyia marketing
Back
Top Bottom