Wanawake ni kama Uyoga, leo Mboga kesho Sumu

Fresh Jenga taifa Baadae nikiamka nitakuja kulipaka Rangi Na kuweka BATI za Msauzi..
Poa

Ushauri wangu mdogo wangu: Pigania mishe zako zipe kipaumbele sio wanawake

Wanawake wengi miaka hii ni malaya ukiwazingatia sana utaumia. Malaya ni kama kunguru hafugiki

Ukiwa na mahusiano na mwanamke yoyote mchukulie kama malaya muuza uchi.

Huwezi kuumia hata siku moja kuona malaya uliyemnunua leo kesho ananunuliwa na mwanaume mwingine

Utanishukuru
 
Tayar uko,, asante kwa uyo dada kutuwakilisha vema,,, yaani wadada mkipata nafas ya kutesa ivi viumbe,,fanyeni kwel na kwa niaba yangu mshahara ntawapa nkianza kaz🤣🤣🤣😂😂😂😂
Ndio umemtuma aniibie vitu vyote vya geto..??Mkiwa kwenye vikao vyenu Mnakaa mnafundisha wizi hata kwa mwanaume alioonesha nia ya kutaka kukuoa na kukutambulisha kila sehemu..!!Anarogwa mtu Subiri
 
Ndio umemtuma aniibie vitu vyote vya geto..??Mkiwa kwenye vikao vyenu Mnakaa mnafundisha wizi hata kwa mwanaume alioonesha nia ya kutaka kukuoa na kukutambulisha kila sehemu..!!Anarogwa mtu Subiri
acha uibiwe tu mbon namimi nimeibiwa😁😁🙌🏾
 
Kila kitu ni kama dawa za kikemia

Ukipata chini ya kiwango huponi,

Ukizidisha inakua sumu,

Balance my friend
 
Back
Top Bottom