Search results

  1. Tyrone Kaijage

    Umewahi kuona harakati gani za kusaka hela zikakushangaza

    Mjini watu wanatafuta hela kwa style nyingi mradi mkono uende kwa kinywa. Katika pita pita zangu Kariakoo, nikaona jamaa fulani anakodisha magazeti kwenye vijiwe vya mawinga na wauzaji kule madukani. Yaani jamaa ananunua magazeti kadhaa ya hasa ya michezo, anakuletea unakodi kwa lisaa limoja...
  2. Tyrone Kaijage

    Hivi serikali mnaona kero za Mandela road au nayo itakuwa kwenye mpango wa bandari?

    Hii ni barabara iko Dar es salaam, inatumika sana na Malori yanayotokea mageti makuu ya bandari kuelekea barabara kuu ya kwenda nje ya mkoa wa Dar es salaam na nchi jirani yaani mpaka pale ubungo interchange. Kero kubwa ya barabara hii ni jam inayosababishwa na Malori kutoka bandarini, kwa...
  3. Tyrone Kaijage

    BAKWATA mnajisikiaje kuwa wa pekee kwenye masuala ya miandamo ya mwezi?

    Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo. Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa...
  4. Tyrone Kaijage

    Watoto wa kiume wa Anorld Schwazzeneger

    Hii ni moja ya picha ya mategemeo ya ukuaji kwa watoto walio chini ya uangalizi wa baba na walio chini ya uangalizi wa Mama, sio tuu kiumbo bali,kiakili na kihisia yaani hulka jinsia kwa ujumla. Kiasili inafanya kuamini muonekano ndio asili na tabia za jinsia ingawa uhalisia wa siku hizi ni...
  5. Tyrone Kaijage

    Naomba ushauri kitalu cha Pilipili hoho

    Habari zenu wapendwa, Baada ya kushawishika na upandaji mbogamboga katik mazingira ya nyumbani, nimejaribu mboga kadha wa kadha nimeweza ila hohoho zinanishinda kuanzia kitalu,nimefanya attempts baada ya shauri kadha wa kadha ila nimeshindwa fanikisha. 1st time: Niliambiwa kwa kitalu nitumie...
  6. Tyrone Kaijage

    Ushauri: Nifanyaje ili homemade pellets kwa ajili samaki ziweze kuelea

    Habarini wadau, Katika kujifunza kwa ukaribu,ufatiliaji wa kukuza na kuwalea samaki aina ya Sato ambao nimechimba kijibwawa ka 40 sqm kwenye mazingira ya nyumbani kwangu kama darasa ili huko mbeleni niongeze mengine mpaka 6, kwa ulishaji nimekua natumia zile industrial floating pellets pekee...
  7. Tyrone Kaijage

    Kutotangaza Top 10 kutapunguza usongo shule za vipaji maalum

    Watoto wa shule za serikali za vipaji maalum kama Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Tabora boys, Kismiri, Kilakala, Msalato. Hizi shule kwa namna fulani zinashindana hasa hasa hamasa zinatoka kwenye uongozi, ingawa hawafundishi ipasavyo ila wanajua kutia hamasa kwa kushindanisha matokeo ya wao kwa wao...
  8. Tyrone Kaijage

    Kiuelewa na kujitambua binadamu wapo aina nne

    1. Mtu anayejua, na anajua kwamba anajua. Huyu ndiye mwanazuoni, basi mzingatieni na mjifunze kwake. 2. Mtu anayejua, lakini hajui kwamba anajua. Huyu amesahau, basi mkumbushe kimya kimya. 3. Mtu ambaye hajui, na anajua kwamba hajui. Huyu ni mwanafunzi basi msomeshe mfululizo maana siku moja...
  9. Tyrone Kaijage

    Ukweli kila nyumba ina kaharufu kake ila mgeni tu ndiyo hugundua

    Kuna sehemu nimekuta huko jamhmuri ya facebook wanaongelea hii kitu, nahisi kama kuna ukweli. Pia nikakumbuka kuna jamaa daktari alinielezea jinsi pua zinavyosense harufu na akasema pia pua huwa zinatabia ya kuzoea, kwamba unaweza ukazoea harufu fulani na usi sense, kuna ile tetesi ya miaka ile...
  10. Tyrone Kaijage

    Mchengerwa: Tanzania kushiriki Kombe la Dunia 2030

    Ni ripoti ya Clouds Media na haya ni sehemu ya maneno yaliyosemwa na Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ukisikiliza kwa kina maelezo yake utaona ni yale yale kama ya lile garimoshi la umeme tuli linalolalamikiwa , upande wangu naona kuwa bado viongozi WaTanzania hawajakubali kuwa kuna vitu...
  11. Tyrone Kaijage

    Sijaona baya la kauli za wachezaji wa Morocco baada ya kuwakataa CHAWA kwenye mafanikio yao.

    Hawa jamaa sijaona kama wamekosea kwenye kauli zao, akili ya kulilia dedication kwenye mafanikio yao ndio inaonesha root ya mawazo m’bweteko ya kiAfrica. Sidhani kama utasikia mholanzi akisema eti mfaransa au muingereza leo anapigana kwa ajili ya ulaya. Hebu tubadili mtazamo, na sisi wengine...
  12. Tyrone Kaijage

    Mambo/Vitu gani ukiona unastuka na kuona nyakati zako zimepiga hatua?

    Muda/time huwa ni nafasi kati jambo na jambo. Basi buana jana niliona kwenye grupu fulani la Whatsapp imetumwa picha ya wajumbe wa kamati ya UVCCM, nikaona jina na picha ya mtoto wa aliyekuwa mtangazaji nguli wa kituo cha Clouds FM marehemu Amina Chifupa Mpakanjia. Kama mnamkumbuka enzi zake...
  13. Tyrone Kaijage

    Mambo gani/vitu gani ukiona unastuka na kuona nyakati zako zimepiga hatua?

    Definition ya time aka muda kule form one ilisema ni intavali kati jambo na jambo. Jana niliona kwenye group fulani la Wasapu imetumwa picha ya wajumbe wa kamati ya UVCCM, nikaona jina na picha ya mtoto wa aliyekuwa mtangazaji nguli wa kituo cha Clouds FM late Amina Chifupa Mpakanjia. Nikaanza...
  14. Tyrone Kaijage

    Madharau gani ulifanyiwa na form four ukiwa form one/ njuka

    Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini. Tukajipinda daah! Mwisho wa siku wakawa ma brother.
  15. Tyrone Kaijage

    Watu gani wanaotakiwa kutokosekana kwenye simu au circle yako

    Imekuwa desturi humu kuhamasishana kusaka njuruku. Well mbali na kuwa na njuruku, mfumo wetu wa maisha sometime unataka circle yako iwe na watu fulani, ili uweze kusukuma gudurumu bila fricition zisizo za msingi kwenye kila siku. Je, simu au circle yako ina: 1. Daktari 2. Polisi/Trafiki 3...
  16. Tyrone Kaijage

    Ushauri kwa wanaume juu ya mwanamke wa kufanya naye maisha

    Mwanaume kuwa makini zaidi wakati wa kuchagua mwanamke wa kuoa/ kuishi naye. Tuko katika kizazi ambacho: 1. Wanawake hawakubali makosa yao,mara nying hulaumu juu jinsi wanavyotendewa na wanaume lakini hakuna atakayekubali kumlaumu mwanamke kwa utovu wa nidhamu kwa mwanaume. 2. Ni kizazi...
  17. Tyrone Kaijage

    Kati ya kaka au dada, nani anapaswa zaidi kuwa mlezi wa mzazi umri unapomtupa mkono?

    Ki Afrika wazazi wanapofikia umri fulani huwa wanahitaji uangalizi wa vijana wao, yaani watoto na mara chache wajukuu. Mara nyingi kuna changamoto za hapa na pale hasa mtoto anapokuwa tayari ameoa/kuolewa, hasa migongano kutoka kwa mwenza au ndugu wa mwenza. Unakuta dada anaishi na mzazi ila...
  18. Tyrone Kaijage

    Achana na PhD kuna Masters za kusoma baada ya muda wa kazi

    Sijabahatikaga kusoma mpaka elimu za juu ila nimekuwa najifunza kwa waliosoma. Kwa miaka kadhaa nilikuwa naona majamaa na marafiki wakijiunga kusoma elimu za masters zile za baada ya muda wa kazi. Ukiuliza malengo, wengi walikuwa wanasema ku boost scale za mishara. Sasa kwa jinsi nilivyokuwa...
  19. Tyrone Kaijage

    Elon Musk net worth 300B $ Idadi ya watu duniani 7.6B

    Mfano jamaa akitoa msaada kwa kila mtu wealth ya 1B $ bado atakuwa tajiri namba moja duniani na wewe hali uliyonayo utabaki nayo hivyo hivyo kwa kuwa tutakuwa tume add 1 kwa kila mtu [emoji23][emoji23].
  20. Tyrone Kaijage

    Vile wanaume wanapendana kwa vitendo

    Sisi wanaume hatuambiani "nakupenda" ila maisha yetu ndio upendo wenyewe, ukiwa na shida unapiga simu unasema "We fala hebu tuma 20,000 fasta nna kimeo hapa" Afu unajibiwa "Acha ulofa kenge we tutakuoa, sema we kima nitume namba ipi kwa jina lipi kabla sijaghairi". Unakuta chaap " Oyaa mzigo...
Back
Top Bottom