Achana na PhD kuna Masters za kusoma baada ya muda wa kazi

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
1,611
3,342
Sijabahatikaga kusoma mpaka elimu za juu ila nimekuwa najifunza kwa waliosoma.

Kwa miaka kadhaa nilikuwa naona majamaa na marafiki wakijiunga kusoma elimu za masters zile za baada ya muda wa kazi.
Ukiuliza malengo, wengi walikuwa wanasema ku boost scale za mishara.

Sasa kwa jinsi nilivyokuwa nikihadithiwa na marafiki wengine waliokuwa wanasoma masters huko nje juu ya ugumu wa ratiba zao za shule na coarses load za shule, nikajaribu kupitia pia kwenye vyuo kadhaa kuona routine ya usomaji wa masters kwa kweli ziko very busy.

Nilikuwa najiuliza sana kwa hapa kwetu juu ya ubora wa hizi masters za kusoma saa 17:00 au 18:00 to 20:00 au 21:00 na unakuta si kwa kila siku. Pia kiuhalisia wengi ni watu wazima ambao tayari wana majukumu ya kifamilia,ukiangalia kwa mazingira ya maeneo mengi kunakopatikana vyuo vya ufundishaji wa hizi level z masters najiuliza wanamudu vipi.

Je,tunaenda sawa na dunia kwenye misingi ye elimu bora au bora elimu mpaka elimu za juu!?
 
BONGO ELIMU WENGINE WANAUNGA UNGA TU
 
Kununua assignments, hawako active ndio wansababisha mitihani ya chuo kuvuja kwa kwa kununua hamna uhalisia kabisa wa kuwa active na masomo mwisho wa siku wanapewa tu kwa ujanja ujanja bongo bahati mbaya
 
Wananunua assignment!?
 
Back
Top Bottom