Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi imepelekea ata Israel kukosa nguvu za kuikabili Palestine
MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA.
Imeandikwa na Shusa Luck Shusa luck
Naomba uni follow Kisha tuendelee
NINI CHANZO CHAKE, NINI KINAENDELEA NA NI IPI SULUHU YA KUDUMU?
#UZI [emoji3468]
Uzi huu utaangazia uhalisia wa mgogoro kwa uwazi bila upendeleo. Hivyo kama una mihemko ya itikadi za kidini...
Acha uongo mzee, mpaka sasa Russia imetekeleza mauaji ya askari zaidi ya 52 wa Ukraine, wewe hizi Taharifa za Russia kupigwa umezitoa wapi? Isipokuwa siku ya Jana (ijumamosi) Ndege ya kivita ya Russia ilidondosha bomu kwa bahati mbaya inchini Russia na kusababisha kuanguka kwa majengo
Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
By Shusa Luck
Historia fupi ya Taiwan
Historia ya awali, Era ya kisasa, na Kipindi cha Vita vya baridi
Ikopo maili 100 kutoka pwani ya China, Taiwan imekuwa na historia ngumu na uhusiano na China.
Monetized by optAd360
Historia ya awali
Kwa maelfu ya miaka, Taiwan ilikuwa nyumbani kwa...
Manchester City ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika jiji la Manchester, Uingereza, ambayo inashiriki katika Ligi Kuu ya Uingereza.
Timu ya Manchester City
Ulianzishwa mwaka 1880 kama St Mark's (West Gorton), ikawa Ardwick Association Football Club mwaka wa 1887 na Manchester City mnamo...
Usilete shida zenu binafsi kwenye Mambo ya serious bwana yaani zoezi linasiku mbili tu Usha Anza kusema dhuluma una akili kweli? Au Sensa anahesabisha mdogo wako tu nchi nzima?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.