Shirika la ndege la Tanzania limesema linaongeza safari za ndege kwenda na kutoka Bukoba na sio Chato kwa kuwa safari za Chato hazina faida.
Msemaji wa ATCL amesema safari hizo hazina abilia wala mizigo hivyo ni safari zisizo na faida ,naona wameanza kumsaliti Magufuli kabla hata 40 bado...
Naibu Waziri wa TAMISEMI mh Silinde amewataka maafisa elimu nchini kupeleka majina ya walimu waliojitolea mapema ili wapewe kipaumbele katika ajira 6000 alizotangazwa Rais Samia hivi majuzi.
Akijibu swali bungeni Naibu Waziri Silinde amesema kigezo cha kwanza itakuwa wale wote waliojitolea na...
Waziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS .
Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani
Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu
Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
Wakuu naomba mnijuze juu ya kitu kinachoitwa pato la taifa huwa linahesabiwa vipi.
Je ni majeti yetu?
Madeni na makusanyo ya Serkali?
Natanguliza shukrani.
=======
Mchango wa Mdau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.