Waziri Jafo: Msako wa vifungashio kuanza kesho

Mwambie UMMY akueleze juu ya wachimba mchanga wa Kawe na jinsi diwani wa Kawe anavyoharibu mazingira kwa kushirikiana na watu wa Ardhi kuuza viwanja sehemu karibu nyumba ya mama yake { MAREHEME RWAKATALE} ; Mto Ndumbwi unapoingia baharini hivyo kuharibu mazaria ya samaki!!
 
Aache kuchachawa, atulize kichwa. Naelewa kiwewe cha kukoswakoswa, ila akija pupa, atabakia mbunge mwenye wake wa4.

Hajui maana ya matumizi mabaya yanayosemwa na CAG. Sasa hivi hii wizara itapata hati chafu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom