Ni muda wa wasanii kuja na mpango wao wa kuhamasisha utalii

Feb 9, 2021
6
16
Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu

Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
 
Kwenye upigaji huwezi sikia mtu akikuambia alipata kitu, pesa zenyewe hazina ushahidi wa moja kwa moja.... Acha fedha za Umma ziliwe na Umma..
 
Back
Top Bottom