Search results

  1. Roy Logan

    UNAYAFAHAMU MASHINDANO YA LADIES FIRST? PICHA

    Ladies First ni mashindano ya riadha kwa wasichana wa Tanzania, yalianza kushindaniwa mwaka 2017 kwa hisani kwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA. Mashindano haya yalibuniwa na mkimbiaji nguli wa enzi hizo Kanali Juma Ikangaa, aliomba ufadhili kutoka Japan na hatimaye yakaanzishwa...
  2. Roy Logan

    Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

    Habari za jioni wadau, nimeuliza hilo swali baada ya kuona post huko Instagram kutoka kwa Milard Ayo, unaweza kusoma alichoandika Mh.then tukajadili.
  3. Roy Logan

    Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

    Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.
  4. Roy Logan

    January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  5. Roy Logan

    Happy New Year Wanabodi

    Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu humu. Mungu awabariki sana.
Back
Top Bottom