Search results

  1. A

    Usaidizi wa kupata till za uwakala (M-Pesa)

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa...
  2. A

    Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    Habar natumaini mu wazima Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke Kiumri ana miezi 8. Naomba kujua hiki kinaashiria nini? NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
  3. A

    Fikra juu ya fikra na mpango juu ya mpango

    Habari ndugu mwana JF, kuna mambo ambayo inatakiwa kuyafahamu katika maisha Unapofikiri kwenda kufanya mapenzi na mtu asiye mke wako wakati huo unamke, jua ya kwamba yupo mwingine ambaye anafikiria kwenda kushusha voko kwa mke wako ili wakafanye matombano Unapofikilia kwenda baa au guesthouse...
  4. A

    Je unakumbuka ulipokua shule ulikua na cheo gani? Na faida ya hicho cheo ni ipi?

    Je ulipo kua huko shuleni ama hapo ulipo umeshawahi kuwa na cheo gani? Na ulikua unapata faida gani? Maana wengine walikuaga viongozi lakini walikua hawajui nini chakufanya Embu sema ulikua na cheo gani pia na faida ulokua ukiipata
  5. A

    Mke wa mtu sumu tena sumu kali maana sio kila ukionacho kinakufaa

    Kuna siku jamaa mmoja katika pitapita zake alimwona mdada mzuri kwa mtazamo wake(siwezi sema kwa mtazamo wangu kwasababu kila mtu anatamani kile anachotamani/penda) alikua na shepu nzuri,sura ya kwawaida na bod kwa mbali basi yeye akamtamani Basi siku nyingine alipomwona akapata shauku ya...
  6. A

    Je, wajua baadhi ya malumbano au mikwaruzano katika mapenzi/mahusiano au ndoa husababishwa na kutokua na pesa?

    Habari ndugu mwana JamiiForums, Leo nimeona nikuletee jambo hili kuna baadhi ya watu wanashindwa kuelewana katika mahusiano au mapenzi au ndoa sababu hawana pesa hususani wanawake wengi wa sasa hawawaelewi maboyfriend wao ati kisa hana pesa Na asipokua na pesa na mapenzi yao hayawi motomoto...
  7. A

    Umewahi kuona kijana ambaye hajihusishi na mapenzi eti mpaka aoe japo kuna wasichana wanaonesha kumtaka?

    Habari ndugu. Natumaini u mzma kwa uweza wa Mungu, leo nimeona nikupe kisa hiki Nakumbuka siku moja nikiwa na jamaa yangu. Sasa jamaa yeye alikua hawafatilii wanawake lakini wanawake walikua wakitafuta sana lakini jamaa anawawaona kama wa kawaida tuu na alidai kwamba hajawahi kufanya kabisa...
  8. A

    Hello JamiiForums

    Naitwa ackhery Jinsia ME Naomba ushirikiano wenu Tafadhali Nimerudi baada ya kuwa nimesahau password ya kulog in.
Back
Top Bottom