Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

Ackhery

JF-Expert Member
Jan 5, 2021
293
299
Habar natumaini mu wazima
Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke
Kiumri ana miezi 8.
Naomba kujua hiki kinaashiria nini?

NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
IMG_20220528_095413.jpg
 
Ukiona discharge inatoka nyeupe ujue basi hakuna shida (hata binadamu wanawake hutoa discharge), I googled it wanasema nguruwe akipata discharge mda mwingine anakula sana vyakula venye calcium na phosphorus nyingi. Pengine inaweza kuwa yeast infection. .

Ila nimepigia daktari wa mifugo sasa wakati natype hivi kanijibu kwa miezi nane nguruwe wako yupo kwenye heat, mtafutie dume. .
 
Ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom