Search results

  1. M

    Kuna mtu simu yake akipiga simu hazitoki na sms haziendi, ila ukimpigia unampata na sms anapokea

    Alipigiwa na wale matapeli wa mitandaoni wakampiga hela kwa kujidai namba yake inafungiwa kwa sababu inatumiwa na watu wawili na pia kuna hela imekuja kwake akafata maelezo akatapeliwa. Pia, Kuna code walimwambia aiandike kwenye simu naye akafanya hivyo, simu yake tokea muda huo haiwezi kupiga...
  2. M

    IRA AUTO SERVICE Ltd: Tunatoa huduma za kutengeneza magari aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia

    Tupo Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam. Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia. Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama KISANGANI kwa zaidi ya miaka 40,tukaona ni vizuri kuweka na Garage ili kutoa huduma za uhakika...
  3. M

    Msaada mwenye Charger ya PC MacBook

    Naomba mwenye Charger ya MacBook hiyo hapo aniuzie kwa bei ya kirafiki ikiwa used poa pia maana charger yangu imeharibika Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Kuna mtu anawajua Hawa FOCUS AFRICA?

    Nimeona wamenitumia meseji Leo kwenye Email kuwa nimekuwa shortlisted kwa hyo Wana interview zingine kama mbili hivi, ila kwanza lazima uwe na Cetfied Cognitive Report (CCR), baada ya kufuatilia hii CCR nikaona inatolewa Ata kwa online Kuna watu wanatoa nadhani kampuni inayotoa ipo Kenya ila bei...
  5. M

    Naomba Msaada kwenye kipengele cha Verification Certificate katika Ajira Portal

    Naombeni Msaada kwenye kipengele cha Verification Certificate, inatakiwa vyeti viwe certified na mwanasheria au na ni kila mtu lazima afanye hivyo au inakuaje.
  6. M

    Barua za Ajira Portal

    Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi. Naomben majibu
  7. M

    Je, magari ya Dar - Moshi - Arusha ya usiku yapo?

    Nauliza hivi kuna gari ambazo zimeshaanzisha safari za usiku kutoka Dar to Arusha?. Maana nataka nitoke huku Dar jioni nifike Moshi pale, Asubuhi nifanye mambo yangu jioni nirudi tena.
  8. M

    Naombeni kujua vitabu wanavyotumia shule ya msingi

    Naombeni kujua shule za msingi za serikali, wanatumia vitabu vipi ,Darasa la Sita .kuna Dogo nataka nimtaftie hivyo vitabu. Ikiwezekana naomba na PICHA ili iwe rahisi nikienda kukinunua. Naombeni sana Hesabu na Sayansi , Viwe ni mojawapo kati ya nitakavyojulishwa tafadhali. Nomba kuwasilisha .
  9. M

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwananyamala

    Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo Kuna mdogo wangu Ni mwaka wa KWANZA kwa hiyo nilikuwa nauliza Room ya kupanga Maeneo ya Mwananyamala hapo kiwe kwenye Fensi , Maji na umeme viwepo ,Nawasilisha.
  10. M

    Serikali inachowafanyia Wanachuo sio kitu kizuri

    Ipo hivi: unajua mtu mwaka wa kwanza na wapili ulipata allocation yako vizuri, sasa mwaka wa tatu huu unajiandaa kwenda chuo bado siku tatu unakuta ada imepunguzwa na hela za stationery nazo wamechukua, wanatarajia mtu atafanyaje kwa kipindi hiki kifupi hivi. Na ukiangalia sioni sababu ya...
Back
Top Bottom